CCM na CUF wanawahonga pombe wakazi wa Igunga

CCM na CUF wanawahonga pombe wakazi wa Igunga

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761
Baadhi ya Wazee na akina mama wa Igunga wahongwa Pombe ili kuiunga mkono CCM...ni kwenye kikao kilicho itishwa na CCM na CUF kwa ushirikiano......pata picha kwa mjibu wa mchina simu
Chapombe.jpg
Pombe ccm.jpg
Ccm wakinywa pombe.jpg
 
Acha CUF na CCM wagawane pombe na kura ili CDM iibuke kidedea.
 
Dah! Aisee hii kali!
Mkuu naomba uhifadhi hii picha kwa ajili ya ushahidi (au nipe mimi copyright) maana hawa jamaa huwa wanakana kuwa wao ndoa yao ni zenji tu na sio huku bara.
Sasa hapo imejidhihirisha waziwazi.
Cheki hata hao kinamama wamechanganya jezi za wanandoa hao wawili.
Kwa hili nadhani wamezidi kujichimbia kaburi.
Yu wapi Mtatiro aje atoe maelezo ya hii kitu.
 
Kweli aiseee!!!! Gauni CUF Kilemba CCM.. Duh!!
 
Halafu ulabu ukisha kolea wanasagana na kukoboana, washenzi kweli kweli hawa
 
Back
Top Bottom