CCM watuhumiwa kugawa Sukari na Mahindi Igunga

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Namesikiliza radio Clouds fm nikamsikia Naibu Katibu mkuu wa CUF akilalamika kuwa CCM wameagiza tani 9 za sukari toka Mwanza kwa ajili ya kugawa kwa wapiga kura na wameamua kutumia kigezo cha njaa kununua kura kwani wamepanga kugawa mahindi kwa wananchi siku ya ijumaa na jumamosi.,CUF wanasema Igunga patachimbika wanasubiri huo mzigo ufike.,stay tuned
 
Back
Top Bottom