Kuna haja ya kuweka utaratibu wa kuyapima wanayoongea wagombea; baada ya uchaguzi

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
7,846
4,934
Nanukuu kampeni za mgombea huyu huko Igunga;Nitaanza na vijana>>vijana hamna kazi,mnakaa vijiweni bila kazi>>vijana mna 'very problems'>>Ninyi ni kama solar panels,mnachomeka juani muda wote>>mkinichagua,watoto wenu hawataenda na majembe shuleni na badala yake nitauza VX langu ili ninunue powertiller kwa kila shule>>Vijana nitawapa ajira ya kuendesha matrekta ya kijiji nitakayoyanunua>>Nitaajiri wataalam kutibu ng'ombe wenye kupe na nitawalipa kwa U.S dollars na British pounds kwa sababu shilingi haina thamani(mwisho wa kunukuu).Yaaani hopeless kabisa huyu mgombea,CHADEMA kibarikiwe.

Ili angalau wachukuliwe hatua za kinidhamu ndani ya vyama vyao, au chama husika kiwajibike kwa ujumala kwa kupitisha mgombea ambaye hafai. Badala ya kwenda kutangaza sera ili watu wamchague kwa kupitia hizo, anaenda kuwapotezea muda wananchi kwa kuwakejeli/kuwa-corrupt mawazo yao!
 

kizazi kipya

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
327
62
mkuu sijaiskia hii...ni kweli kuna mgombea katoa ahadi kama hii.Haina tofauti na ile ya mkuu wa kaya kuahidi meli kny kwenye maziwa ya victoria,tanganyika na nyasa..lets wait..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom