Igunga: List ya Vigogo wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Igunga: List ya Vigogo wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyambala, Sep 26, 2011.

 1. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wakuu inaonekana serikali karibu yote imehamia Igunga,I am about to write something kuhusiana na uchaguzi huu naomba mnisaidie kuijaza list hii:

  Vigogo

  1. Mwigulu Nchemba

  2. Samuel Malecela

  3. Philip Mangula

  4. Mashishanga

  5. Mukama

  6. Msekwa (sina hakika kama huyu bado yuko huko)

  7. Wasira

  8. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk Athuman Mfutakamba

  9. Magufuli

  10. Asha Abdallah Juma ( member -CC)

  11.


  Wabunge:

  1. Aeshi Hilali

  2. Hamisi BAgaile Kingwangwala ( Not sure kama nimepatia surname)

  3. Ester Bulaya.

  4. Lusinde

  5. Rage

  6. January Makamba

  7.

  8.

  9.
   
 2. B

  BMT JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hii kitu haina mashiko, hata CDM jeshi lote liko kule. sioni ajabu chama chochote kinachowania jimbo kujaza watu wake kwa kampeni kadiri kinavoona.
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Tatizo la kuongozwa na ideology, sasa viongozi wa serikali kwa nini wanaipigia kampenni CCM??????? Hiyo unayoita shule nadhani wewe ndiye unaiihitaji zaidi. Usivyo na aibu unauliza eti idadi ya viongozi wa CDM anzisha thread yako kuhusu hiyo bwahaha ahaha ahahah!!!!!!
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu sijasema ni vibaya hao viongozi wa CCM kuwa kule, ila nnachohitaji ni idadi yao kwa ajili ya makala nnayoiandaaaaaaa!
   
 6. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Anza kutaja viongozi wa cdm amabo wapo igunga wamejaa mpaka wanalala kwenye mitaro.
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  tuweni na staha kwenye kujibu hoja, hii hoja kama ni pumba kwako kwa wengine si pumba, so haina haja ya kumrudisha mtu shule,

  kwani wewe unayeandika kwa msuli waonyesha wahitaji shule pia, yeye ameiomba hii list ili atoe maoni yake fulani, na ameomba list ya CCM kama hujui aliyeenda au unajua na unaona ni pumba basi 'potezea'

  life is simple if we keep it as such
   
 8. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unaposema viongozi wa serikali,, then unataja Mashishanga, Mangula, Nchemba, Msekwa, ................etc, ndio maana watu hawakuelewi mkuu!
   
 9. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ongeza viongozi wastaafu,hii ni dalili kuwa serikali si sikivu kwa wananchi ndio maana inabidi watumie nguvu ya ziada vinginevyo ingekuwa inatekeleza ahadi zake wapinzani ndio wangepaswa kufanya yanayofanywa na Ccm.Ongera upinzani kwa kuwafumbua macho wadanganyika
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hivi wakuu niulize na kupenda kujua sheria yetu inasemaje?
  Ukisha kuwa waziri na kukatokea uchaguzi mdogo kama huu wa Igunga kwanini waziri kama waziri uje kwenye siasa za kampeni?? kwani wasije wabunge wakawaida ambao hawana cheo serikalini? au Wana chama wenye mvuto wa chama chenu kuwapigia kampeni?

  Je sheria inaruhusu waziri kama mtendaji wa serikali kwenya kwenye kampeni?
   
 11. t

  thinktank Senior Member

  #11
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio unaongozwa na ideology, umeambiwa taja viongozi wa serikali walio kwenye hiyo list unakurupuka tu. Na mbona wewe hujaanzisha thread yako kujibu hoja ya Nyambala.
   
 12. M

  Meshacky Member

  #12
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  philipu Mangula
   
 13. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wangebinafsicha Chama kama walivyoyamwaga mashirika ya umma. pambaf yao
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,069
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  wengi kati ya hao wametajwa kwenye ufisadi, lakini wao wapo tu ndo kusema wanapenda wenyewe au wanaburuzwa tu.
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Nadhani hiyo list si ya viongozi wa serikali, ni viongozi wa chama.
  Serikali=!chama.
   
 16. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #16
  Sep 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Heee hapa viongozi wa serikali ni wangapi? Mimi nimewaona Wasira na Mfutakamba ambao ni wajumbe wa NEC - CCM na pia ni viongozi wa serikali. Naona hapo kuna viongozi wa CCM ambao hawana kofia mbili.
   
 17. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  List hii inaonyesha baada ya CCM kuambiwa koti jipya halipendezi halina mvuto wanajaribu kuvaa koti la zamani (Mangula Malecela) ambalo limechakaa wakifikiri bado linang'ara.
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mawazo ya wanaCCM wengi kama wewe wanafikiri kuongoza chama ni kukaa ofisini Lumumba na kutoa maagizo.
   
 19. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #19
  Sep 26, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sema wewe..
   
 20. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #20
  Sep 26, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kweli wewe ni THICK TANK; yaani lipipa lililojaa taka za kila aina kwa kuzingatia aina ya lugha uliotumia hapo juu. Wana-JF mtu kama huyu si wa kujadiliana naye jambo. Kaingi humu jana leo hii tayari ni mwenyeji anamwaga matusi na kutuondoa kwenye mada ya msingi.

  Swala humu ni kwamba je ni sahihi viongozi wa CCM na serikali kurundikana Igunga huku wakitumia muda na raslmali nyinginezo za umma kufanyia kampeni za kisiasa mgombea wampendaye????

  Sasa huyu mwenzetu sijui anageuka mwekundu usoni kwa sababu zipi hasa. MODS do the necessary here, nawashilisha hoja.

   
Loading...