Nyerere na uongozi wa kimila(utemi na ufalme) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyerere na uongozi wa kimila(utemi na ufalme)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alexism, Sep 27, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Kupitia katika historia ya Afrika utakuta kwamba jamii mbali mbali zilikuwa na njia za kujiongoza kabla ya ubepari na ukoloni kuletwa Afrika.Ukoloni ulipokuja falme au utemi ulitolewa lakini mwingine ulikua retained kama Buganda,Nyarubanja etc mpaka uhuru wa Tanganyika.
  Mwaka 1964 Nyerere na Obote wakaanzisha move za kutoutambua pamoja na kuukataza kuendelea na shughuli zake na hapo hapo wakiwa wanaubiri African socialism...
  Je kulikuwepo sababu za msingi kufanya hivyo? Ni madhara gani yangetokea kama hizi falme zingeendelea mpaka leo?Je uongozi wa mila huu hauna tija?
  Mtazamo wangu walichokifanya hakikuwa na hakina tija kwani hawa watu waliogopa vipingamizi na walitaka wao ndo wakubarike ila siwahukum bali hayo ni mapungufu yao ambayo yametukosesha mengi.
   
Loading...