CHADEMA itayaruhusu haya?

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Mara nyingi tumeshudia cdm ikifanya harakati mbali mbali kama maandamano,midahalo na operation kuweza kuishinikiza ccm kuwajibika na kufanya mabadiriko ingawa siyo kila sehem.
Je cdm ikiingia madarakani itakubali vyama vingine kama ccm,cuf na tlp kufanya maandamano yanayo pinga chama na sera?
Je cdm itakubali kukoselewa kama inavyofanya kwa ccm.Pia cdm itakuwa tayari kuajibishwa na kufanya uamzi mgumu ambao vyama vingine hapa Afrika vimeshindwa?
 
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?
 
Mwita 25 unafanya watu kutenda dhamb bila kukusudia, manake unaleta pumba zako na kusababisha watu hasira,
 
wa mbele si unawatumia
us.jpg
 
Uki-mmaki mwita25 hatakusumbua naomba turudi kwenye mada, na si kujadili coment ya mwita25
 
KWani kasema uongo, yani nyie mnataka kujadili ndoto? Mada yenyewe ni kama hadithi za abunuasi sasa mjadili nini?
 
Inawezekana sheria zinaruhusu watu kuandamana na ni haki ya msingi lkn tumeshudia mara kibao ccm na vyama vingine vilivyoko madarakani hasa Afrika vikitumia state apparatus and derogation kuzima maandamano wakisingizia eti mara usalama,fujo etc.
Kitu muhimu ninachotaka wadau kujadiri ni je cdm itakuwa au ina uvumilifu wa kisiasa kitu ambacho ni muhimu kwenye kulinda Demokrasia na uwajibikaji?
 
Mara nyingi tumeshudia cdm ikifanya harakati mbali mbali kama maandamano,midahalo na operation kuweza kuishinikiza ccm kuwajibika na kufanya mabadiriko ingawa siyo kila sehem.
Je cdm ikiingia madarakani itakubali vyama vingine kama ccm,cuf na tlp kufanya maandamano yanayo pinga chama na sera?
Je cdm itakubali kukoselewa kama inavyofanya kwa ccm.Pia cdm itakuwa tayari kuajibishwa na kufanya uamzi mgumu ambao vyama vingine hapa Afrika vimeshindwa?
Nikuongezee mengine
Je watavumilia wafuasi wa vyama vingine kuwazuia wake zao kupiga kura na kununua shahada za wengine kama njama za ushindi kama walivyofanya kule Mbeya, Tarime na sasa kule Igunga?
Je wataruhusu waandishi wa habari kusomea taaluma moja tu ya kumtukana Rais na serikali iliyoko madarakani kama ambavyo gazeti moja litokalo mara moja kwa wiki waandishi wake walivyojifunza?
Je wataendeleza sera yao ya U-majimbo kwa lengo la kuwagawa watanzania?
 
Ndio, wataruhusu, na zaidi ya hayo wataruhusu.
 
Mwita25, Rejao na Malaria Sugu, tumieni akili kujibu hoja si kutumia MASABURI yenu.
 
Chadema itaingia madarakani kwa mlango upi?

wananchi wazalendo wa nchi hii waliochoshwa na umaskini ulioletwa na magamba ndio watakaoiingiza cdm madarakani. hakuna cha mlango wala dirisha magamba wewe.
 
Hakuna dhambi kubwa kama dhana, kwanini unadhani sana?give them chance and we shall all learn from them
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom