Nimegundua mabadiliko ya tanzania yataletwa na watanzania wakazi-ughaibuni mmetuabisha

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nilivyoona matangazo kwenye blogs, face book na tweeter nilihisi kweli tuna watu wanaoweza kutusaidia kuleta mapinduzi hapa tanzania kwani wako nghambo amabapo democrasia imeshamiri ukilinganisha na hapa tz, Kumbe sio kabisa, wale ndo wasaliti tena sana kwani hakuna kilichofanywa na hawa jamaa zaidi ya kuwa sehemu ya wahujum uchumi kwa kuhongwa na matapeli wa anzania wanaojiita viongozi!tumeyasikia ila mjue mtarudi tu nyumbani ni nyumbani!lamda mjitahidi kuficha cv zenu na namna yoyote inayoweza kuwabaini! siku yenu ipo na mjue sisi ndo viongozi wa kesho! worry not na haya mambo ya kuongwa mkasaliti taifa yana mwisho!i am done!
 
wapumbavu hao wa marekani wametuaibisha ila hata sisi hapa nyumbani mbona hatuandamani
 
we are done for the first step (awareness) which i define it as a foundation of national revolution ,we are in process to looking for step two!vita tunaoyopambana nayo ni ngumu, inahitaji ushujujaa na uvumilivu sana!one day we will sing the song of victory!
 
Things are not as easy as the most think....... sitting and writing long essays and post them here on JF is not comparable to the journey of revolution.....better find the selves.....we are talking and complaining a lot this becomes behavior and clouds our desire to act.
 
Mhh sasa muanzisha mada mbona unatuchanginyi..? First part unalaumu, na then next unaelezea part 1 na part 2..?

Ingawa sijaelewa hasa unaongelea nini, personally siku zote siamini mia kwa mia kila kitu ninachosikia kutoka miongoni mwetu wabongo (ndani au nje) ! For some unknown reasons, tunaongopewa au kununuliwa kirahisi mno and most are full of blah blah mingi ikifika wakati wa action au kuonyesha msimamo pale kunapokuwa na opportunities utashangaa wanavyobadilika na kuufyata kama mbwa koko wa vingunguti..... !!!

Tumeona wengine waliokuwa wanajifanya wanamapinduzi, ndo hao hao walikuwa wanapigana vikumbo kwenda kushikana mkono na VDG, na hata kupiga nae picha, na kuibuka na kauli eti wameridhishwa na jinsi anavyoshughulikia matatizo ya watanzania (pambaf sijui wa wapi, maana giza, rushwa, u-jairo, wizi- mikataba bomu, hali ngumu ya maisha- bei za petrol, chakula, mauaji ect bongo ni kama kawa...) !! Wengine eti ahh, wamechukua CV yangu na kuniahidi kazi nikirudi bongo... si ndo haya ya know who than how tunayoyapinga kila siku !!!
 
Back
Top Bottom