Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwetu Tabora, Mkoa Mkubwa pengine kuliko wote nchi hii ndiko kunakoweza kuwa na watu waliolala kuliko mkoa wowote Tanzania. Mkoa uliokuwa na shule muhimu kabisa katika nchi hii lakini mkoa...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Hi every body, nilikuwa nikisikiliza kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo huko igunga, nikapigwa na butwaa pale msimamizi mkuu wa uchaguzi alipomtangaza kafumu kuwa kashinda na kisha akapiga...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Mananeo haya yamesemwa na Naibu Katibu mkuu CUF-Tanzania bara, ndugu Julius Mtatiro wakati akihojiwa na TBC1 kwenye viwanja vya halmashauri ya Igunga mara baada ya kutangazwa kwa matokeo ya...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Hongereni sana viongozi na wanachama wote mliojishughulisha kwenye uchaguzi mkuu katika jimbo la Igunga. CDM imepata kura nyingi (iwe zimechakachuliwa au la), CCM imepata ushindi mwembamba...
8 Reactions
54 Replies
9K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA na Uganda zimekubaliana kuharakisha ujenzi wa reli ya Tanga-Musoma-Uganda ili kuhitimisha ndoto ya miaka mingi ya Mwanzilishi wa Taifa la Tanzania Hayati...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa kweli inaumiza sana kuona taifa, majimbo na kata vinaongozwa na watu ambao hawakuchaguliwa kihalali na wananchi bali wamechaguliwa na CCM inayodhani ina haki ya kumiliki taifa hili. Chaguzi...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Habar kutoka mtu wa karibu na Ikulu zinasema kwamba CCM sasa wataadhimisha miaka 34 ya WIZI ktk kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru dec. 9 mwaka huu. Kauli mbiu yao ni hii,according to...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi: We have lost the...
0 Reactions
111 Replies
14K Views
Najua matokeo yatatangazwa hivi punde lakini kwa mtazamo wangu baada ya kusikia matokeo ya awali huu ni mtazamo wangu kwa vyama vitatu shindani katika uchaguzi huu; CCM - Kama chama kisipoangalia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumebakiwa na chama kimoja tu cha upinzani Tz, CDM tumaini la watanzania. Vyama vingine wamekwama, viongozi wao wanatumiwa na chama tawala na serikali wakati wa kampeni. Lakini watu wameshaanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natumia neno upinzani nikimaanisha kuwa upinzani unatarajiwa au walau unapashwa kuwa na united front...after all wanapingana na timu moja-chama tawala. Swali kuwa lini upinzani utajifunza...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ingawaje niko nje ya nchi lakini nikiri wazi kuwa mimi nina asili ya Igunga, niliwahi kusema wazi kuwa wanaigunga hawampendi Rostam Azi wala CCM, nikabishiwa sana lakini sasa naona hata Mzee Mkapa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Napata shida kidogo kuelewa kama chama cha mapinduzi katika kampeni zake hazikuwatumia hawa wabunge wawili kwenye kampeni zake na baadala yake wametumika kina Kina Magufuli na wengine, hao jamaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wanaoangalia ITV naona breaking nyuzi Mtangazaji Reinfred Masako akijielezea atakachofanya wakati wana CCM watakapompa ubunge wa ulanga magharibi. ================ Kwa niaba ya waandishi...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Insivible, Paw, Pamoja na timu yenu nzima ya JF. kutokana uchaguzi wa ubunge jimbo la Igunga kumalizika na matokeo yake kutanganzwa hali itakuwa sio nzuri jukwaa la siasa. Mods: wanatakiwa kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
hakika viongozi na wanachama wa chadema mnaonyesha dhamira ya dhati ya kulikomboa taifa letu. hii imedhihilika katika jimbo la Igunga ambapo chadema wamefanya kampeni chini ya mwezi mmoja na...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Cdm wana tabia za usimba na uyanga. Always hawakosi VISINGIZIO pale wanaposhindwa. Leo hii simba or yanga hata wakicheza na Barcelona wakifungwa utasikia oh kocha mbovu,mabeki waliongwa,waamuzi...
4 Reactions
186 Replies
15K Views
  • Closed
Nape Nnauye Matokeo Igunga.(Jumla kuu ni CCM 26266. CHADEMA 22443) Na haya ni kata kwa kata... Mboto CCM 730- CHADEMA 302 Nguvu moja CCM 694 CHADEMA 284 Nkinga CCM1479. CHADEMA 1085 Itumba CCM1079...
1 Reactions
219 Replies
22K Views
  • Closed
Wanajamvi!! Matokeo ya uchaguzi yataanza kutolewa na tume kuanzia saa nane. Hii ni ajabu sana. Source: Radion One 10:53 AM.
0 Reactions
249 Replies
28K Views
Chadema washinda kwa Sumaye, Nagu Bendera ya Chama cha Maendeleo (Chadema) Waandishi Wetu CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Endasak...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…