Juu ya katiba kuna nini? Hakuna juu yake? Mahakama ipi naweza ishitaki katiba? Kwa sheria iliyo ndani ya katiba ipi? Na hiyo katiba yenye sheria ya kuishitaki katiba, inashitaiwa na mahakama ipi...
Inaripotiwa kuwa wafanyakazi wengi wa Serikali wamechelewa kulipwa mishahara yao ya Mwezi wa 9, je hii inawezekana ni kutokana na serikali kutumia pesa nyingi katika uchaguzi wa Igunga ili Chama...
SIKU chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga, inadaiwa kuwa aliyekuwa mgombea wa CUF, Leopold Mahona alitoa taarifa katika fomu ya uteuzi wake zinazopingana na zile...
Taarifa ya Habari ya TBC 1 Imeripoti wanakijiji wa vijiji vinne vya kata ya Kitere wakikesha kusherehekea kupata mawasiliano ya simu. Laiti wanajamvi mngepata nafasi ya kuona hali ya watu wale na...
Jamani hivi ikitokea Rais JK akawaita Ikulu hawa vijana - Zitto Kabwe, Ismael Jussa, John Mnyika na Januari Makamba, na kuwakabidhi nchi, akisema, "nawapa hii nchi kwa sababu nina imani na uwezo...
Wakuu, habarini za mchana,
Wakuu, hawa magamba wana nini na watu wa Moshi, eti wamefunga barabara tangu asubuhi, napia wana zunguka mitaani wakitangaza na kujisifu kua wana wapongeza watu wa...
Kuna watu huwa wanadhani kuwa hakuna lisilowezekana hapa Afrika, sasa hivi kuna interview inafanyika ya kuipata Tume huru ya uchaguzi ya Kenya (Independent Electoral Boundaries Comissionar - IEBC)...
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli...
Ndugu zangu wana CHADEMA( nasisitiza ni chadema tu) matokeo ya Igunga yamenifanya nije na wazo. Huu si wakati wa sie kutulia na kuacha hili jambo linapita bila kulifanyia kazi.
Kifupi ushauri...
Tanzania's ruling party narrowly won
a key parliamentary by-election after
a tight race marked by low voter
turn-out, pointing to a decline in
popularity of the party even in
regions where it...
Wana jamvi, kabla ya yote niseme kwamba nilikuwa mwanachama wa CCM.
Nimeamua kuvua magamba niliyokuwa nayo CCM na sasa naangalia upepo unavyokwenda nikiwa nje ya Chama Cha Magamba. Kifupi ni kuwa...
CCM wangetumia 30% ya hela walizotumia ili kupata mbunge moja wangeweza kujenga zahanati katika kila kata Igunga
CDM wangetumia 30% ya hela walizotumia ili kupata mbunge (japo wamemkosa)...
Asema ni biashara ya kipumbavu na wizi mtupu
na Mwandishi wetu
SIKU chache baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kusajili tuzo ya malipo ya fidia kwa Kampuni ya kufua...
Nilifikiri kwa kuwa uchaguzi umekwisha na mshindi wa ubunge amepatikana nisinge endelea kuzungumzia lolote juu ya Igunga!
Nimerudi na thread hii hasa baada ya kuona picha halisi katika CTV...
Tangu nianze kutumia na kuchangia thread mbali mbali hapa Jf mambo mengi nimejifunza mojawapo ni wanajanvi au wachangiaji kutoka nje ya mada husika (out of truck) na wengine kujikuta tukianzisha...
Tupo msibani hapa mburahati kuna kijana inasadikiwa kijana wa chadama anaitwa Okada aliuawa kwa kupigwa risasi na mjini igunga siku ya kutangaza matokeo ni kati ya vijana waliokuwa wanafanya...
Sata blocks K4billion to fake company
President Michael Sata has directed Police to immediately stop Zambia Revenue Authority -ZRA- from paying Four-billion kwacha to a fake company managing...
Uchaguzi wa Jimbo la Igunga umemalizika J2 na mshindi kutangazwa jana 3 Oktoba,2011 na msimamizi wa Uchaguzi. Kwa kufanya tathmini ya haraka haraka tu baada ya Uchaguzi na matokeo kutangazwa...
Maneno yake kwa watanzania kupitia facebook wall page yake leo:
· Dr. Willibrord Slaa
Napenda kutoa shukrani za pekee kwa wana IGUNGA wote kwa ushirikiano wao,na kwa kutupigia kura...