CHADEMA ndiyo walioshinda uchaguzi mdogo wa Igunga

makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,641
1,214
Uchaguzi wa Jimbo la Igunga umemalizika J2 na mshindi kutangazwa jana 3 Oktoba,2011 na msimamizi wa Uchaguzi. Kwa kufanya tathmini ya haraka haraka tu baada ya Uchaguzi na matokeo kutangazwa CHADEMA kwa uhakika kabisa ndiyo Walioshinda Ubunge huko Igunga. Nitaeleza.
 1. CHADEMA wamepata kura 23,260 dhidi ya kura 26,484 za CCM.Tofauti ya kura 3,224! Tukumbuke kuwa Uchaguzi Mkuu 2010 CDM hawakuwa wamesimamisha mgombea Ubunge jimbo la Igunga. Lakini mgombea Urais wa CDM Dr.Slaa alipata kura 8,000+. Hii inaashiria kuwa CDM inapendwa na ina uhakika wa kufanya vizuri zaidi 2015.
 2. CHADEMA wametumia gharama ndogo ukilinganisha na CCM chama twawala. Gharama elekezi ya Uchaguzi toka msajili wa Vyamailikuwa Tshs.80m. CCM wametumia NGUVU na GHARAMA kubwa sana kulipata jimbo hili. Tunaambiwa CCM wametumia Tshs.10 Billion!Gharama hizi lazima ziwe juu kwa vile Serikali yote ilihamia Igunga.
 3. CHADEMA wametumia HELIKOPTA MOJA tu wakti CCM wametumia HELIKOPTA MBILI.
 4. CHADEMA hawakutumia SERA ya UDINI kama walivofanya CCM kwa kumgeuza DC wa Igunga kuwa mtaji wa siasa za UDINI. Pamoja na siasa CHAFU za udini za CCM bado hazikufaulu. Tumeona Masheikh wakihimiza Waislamu kutoipigia CDM kura kwasababu ya kumdhalilisha DC ambaye ni Muislamu fake!
 5. CHADEMA kupata KURA 23,260 dhidi ya CUF iliyopata kura 2,104 ni ushindi tosha kabisa dhidi ya SIASA CHAFU ZA UDINI(Uislamu).
 6. CHADEMA wamepata kura 23,260 kwa mjini tu yaani KATA 5! Huu ni wastani wa kura 4,652 kwa kata! CCM amepata kura 26,484 toka KATA 17! Huu ni wastani wa wapiga kura 1,557 kwa kata.Kwa maana hiyo kama CDM kikianza kujiimarisha vijijini CCM wajue watakuwa na hali mbaya sana na hawatakuwa na kitu tena Igunga 2015! CDM lazima wajifunze toka hapo kwamba KUANZISHA MATAWI YA CHAMA VIJIJINI NI KITU CHA LAZIMA NA UTAKUWA MTAJI MZURI SANA KWA GE-2015.
 7. CHADEMA hawajatumia DOLA(Serikali kwa maana ya Polisi,UWT na MAWAZIRI) kujinadi Igunga. CCM wametumia POLISI,UWT na RASLIMALI za SERIKALI.
 8. Kwa CHADEMA hii ni INDICATOR kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2015 utakuwa ni UCHAGUZI MKUU WA KUIMALIZA NA KUINYAMAZISHA CCM KWENYE ULINGO WA SIASA ZA TANZANIA.
Kwa vipengele hivi inadhihirisha kabisa CHADEMA ndiyo washindi wa jimbo la Igunga na siyo CCM. Kwa mara nyingine CHADEMA wameithibitishia serikali ya CCM kuwa ndicho Chama pekee cha upinzani chenye nguvu Tanzania kwa sasa! Huo ndiyo ukweli wenyewe bila kujali CCM kama watakubali au la.

Nawasilisha.
 
John Marwa

JF-Expert Member
May 25, 2011
275
28
Igunga ina kata 26 na sio Kata 17! Mbona hujasema habari ya wapiga debe 2000 wa Chadema kwenda Igunga?
 
John Marwa

JF-Expert Member
May 25, 2011
275
28
Igunga imewashinda mnawaza kushinda Nchi nzima 2015! Tatizo la kuvaa magwanda akili yote ina hamia kwenye magwanda!
 
ACHEBE

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
348
76
We Makoye acha ushabiki wa kijinga Mjini CCM na CDM wametofautiana kwa kura chache sana lakini center nyingine kubwa kama Ziba, Nkinga na Choma ni center za mjini lakini zote hizo CCM wameongoza nadhani unafikiri kwa kutumia masaburi,......
 
muafaka

Senior Member
Oct 30, 2009
101
15

Kushinda au kushindwa huwa hakuna maelezo ni suala la wazi.

My take : opposition hawahitaji kutolea maelezo ya kushindwa, they just have to take note if there is a stead growth in their popularity else they have to rework their way of doing political business.

This country needs a strong opposition, I MEAN WISE OPPOSITION not trouble makers to discipline whoever is rulling not by causing problems but by critically challenging them.
 
kiloni

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
575
75

What is the issue now! who is doing what and how! come on be straight. Do not go arround the bush!
 
Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,519
1,396
Igunga ina kata 26 na sio Kata 17! Mbona hujasema habari ya wapiga debe 2000 wa Chadema kwenda Igunga?
Wapi hao? wale waliobebwa kweye costa 3? CCM bwana kitengo chake cha propaganda kinatisha maana mpaka kinajidanganya chenyewe.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
tumechoka na habari za igunga wameiba udini wakubaliki hivyo vyote vinapita fikiria mkuu leo kuna umeme kwako na je utakunywa kesho chai yenye sukari..
 
Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,685
13,199
Wana igunga wanatamani sana uchaguzi mwingine ufanyike haraka ili nao wafaidi japo kidogo ufisadi wa ccm kwa njia ya pilau na pombe za kienyeji kwani kila baada ya uchaguzi wanabaki wapweke....................hongera ccm kwa kuwa chama imara kwa kuweza kutumia vizuri umasikini mliousababisha na kuhonga watu wa vijijini.............mafaniko makubwa haya

igunga imewashinda mnawaza kushinda nchi nzima 2015! Tatizo la kuvaa magwanda akili yote ina hamia kwenye magwanda!
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Kushinda au kushindwa huwa hakuna maelezo ni suala la wazi.

My take : opposition hawahitaji kutolea maelezo ya kushindwa, they just have to take note if there is a stead growth in their popularity else they have to rework their way of doing political business.

This country needs a strong opposition, I MEAN WISE OPPOSITION not trouble makers to discipline whoever is rulling not by causing problems but by critically challenging them.

Muafaka wewe ni Nanga tena ya melini .Kwanza wewe ni mpuuzi ndiyo wale wale wa kutukuza shule yaani kuondoka na vyeti na kuacha akili darasani nao wamejazana CCM na huko Serikalini mmetufikisha hapa .Wenzio wanachangia kwa kiswahili wewe unajifanya John Kisomo wapi kaka .

Pili wewe ni mpuuzi na sera zenu za uongo kusema fujo .Hebu angalia CCM walivyo jipanga kuanzisha fujo
Balozi wa nyumba kumi
Mgambo,
Polisi
NEC na wizi wao
Shimbo na matamshi yake
Green Guard na upuuzi kibao .Bado hujaona hizo ni fujo ?
bakwata

Kawaida vyama vyote vinatakiwa kuwa vya Siasa na si kuwa na walinzi kwenye vyama .Kama Nchi ingalikuwa na haki kwa wananchi na utawala bora .Hizi ni dalili za ushenzi na kushindwa CCM ndiyo matokeo haya .So anza na CCM then njoo huku kwingine acha kubwabwaja
 
makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,641
1,214
Igunga ina kata 26 na sio Kata 17! Mbona hujasema habari ya wapiga debe 2000 wa Chadema kwenda Igunga?

Murisya John Marwa,

Hizo ni hesabu za Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Igunga. Kwamba CCM wameshinda KATA 17 na CHADEMA wameshinda KATA 5. Jumla KATA 22.Kumbuka kwamba KUNA KATA 4 ambazo msimamizi wa Uchaguzi alisema matokeo yamechelewa lakini yasingeweza kuathiri KURA ZILIZOKUWA TAYARI ZIMEHESABIWA.

Kwa hiyo wewe inaonekana unakurupuka tu na huna data zozote. Pambaf!
 
obo kulwa

New Member
Oct 4, 2011
1
0
Tufahamu CCM Ni chama dola,kinamiliki serikali na maamuzi yake.Suala la kukitoa madarakani ni suala la kishabiki kwa sasa lkn tunashindwa kujua tunataka nini kwa wakati huu na hata hao CHADEMA bado hawajatupa uhakika kama tukiwapa mamlaka hawatafanya kama CCM.Suala lililotakiwa kufanyiwa kazi ni utungaji wa KATIBA ambayo itatuongoza jinsi ya kumpata rais na serikali,chama kitakachomtoa raisi kisiwe ndio serikali na Rais wa nchi asiwe juu ya sheria(kinga ya kutokushitakiwa iondolewe).Mamlaka makubwa aliyopewa rais yapunguzwe na sheria za uhujumu uchumi zirudishwe,uadilifu makazini na kila mmoja ajue nafasi yake makazini na tabia za khanga(kama cdm)zisiwepo.Unajua m2 anapopata muda wa kupiga majungu ujue sio muadilifu,kwaiyo suala la nani aongoze nchi sio muhimi ila muhimu ni nchi iongozwe kwa kufuata misingi hii na ile hilo ndio muhimu kwa sasa sio ooh ccm,ooh cdm ushabiki 2ume2jaa na siasa za vijiweni,mshindi kashinda mwacheni ale vyake.
 
GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,319
305
Uchaguzi wa Jimbo la Igunga umemalizika J2 na mshindi kutangazwa jana 3 Oktoba,2011 na msimamizi wa Uchaguzi. Kwa kufanya tathmini ya haraka haraka tu baada ya Uchaguzi na matokeo kutangazwa CHADEMA kwa uhakika kabisa ndiyo Walioshinda Ubunge huko Igunga. Nitaeleza.
 1. CHADEMA wamepata kura 23,260 dhidi ya kura 26,484 za CCM.Tofauti ya kura 3,224! Tukumbuke kuwa Uchaguzi Mkuu 2010 CDM hawakuwa wamesimamisha mgombea Ubunge jimbo la Igunga. Lakini mgombea Urais wa CDM Dr.Slaa alipata kura 8,000+. Hii inaashiria kuwa CDM inapendwa na ina uhakika wa kufanya vizuri zaidi 2015.
 2. CHADEMA wametumia gharama ndogo ukilinganisha na CCM chama twawala. Gharama elekezi ya Uchaguzi toka msajili wa Vyamailikuwa Tshs.80m. CCM wametumia NGUVU na GHARAMA kubwa sana kulipata jimbo hili. Tunaambiwa CCM wametumia Tshs.10 Billion!Gharama hizi lazima ziwe juu kwa vile Serikali yote ilihamia Igunga.
 3. CHADEMA wametumia HELIKOPTA MOJA tu wakti CCM wametumia HELIKOPTA MBILI.
 4. CHADEMA hawakutumia SERA ya UDINI kama walivofanya CCM kwa kumgeuza DC wa Igunga kuwa mtaji wa siasa za UDINI. Pamoja na siasa CHAFU za udini za CCM bado hazikufaulu. Tumeona Masheikh wakihimiza Waislamu kutoipigia CDM kura kwasababu ya kumdhalilisha DC ambaye ni Muislamu fake!
 5. CHADEMA kupata KURA 23,260 dhidi ya CUF iliyopata kura 2,104 ni ushindi tosha kabisa dhidi ya SIASA CHAFU ZA UDINI(Uislamu).
 6. CHADEMA wamepata kura 23,260 kwa mjini tu yaani KATA 5! Huu ni wastani wa kura 4,652 kwa kata! CCM amepata kura 26,484 toka KATA 17! Huu ni wastani wa wapiga kura 1,557 kwa kata.Kwa maana hiyo kama CDM kikianza kujiimarisha vijijini CCM wajue watakuwa na hali mbaya sana na hawatakuwa na kitu tena Igunga 2015! CDM lazima wajifunze toka hapo kwamba KUANZISHA MATAWI YA CHAMA VIJIJINI NI KITU CHA LAZIMA NA UTAKUWA MTAJI MZURI SANA KWA GE-2015.
 7. CHADEMA hawajatumia DOLA(Serikali kwa maana ya Polisi,UWT na MAWAZIRI) kujinadi Igunga. CCM wametumia POLISI,UWT na RASLIMALI za SERIKALI.
 8. Kwa CHADEMA hii ni INDICATOR kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2015 utakuwa ni UCHAGUZI MKUU WA KUIMALIZA NA KUINYAMAZISHA CCM KWENYE ULINGO WA SIASA ZA TANZANIA.
Kwa vipengele hivi inadhihirisha kabisa CHADEMA ndiyo washindi wa jimbo la Igunga na siyo CCM. Kwa mara nyingine CHADEMA wameithibitishia serikali ya CCM kuwa ndicho Chama pekee cha upinzani chenye nguvu Tanzania kwa sasa! Huo ndiyo ukweli wenyewe bila kujali CCM kama watakubali au la.

Nawasilisha.

Na wasiwasi wakati unaandika hii thread ulikuwa una hara kwani haina kitu na waonekana hata mambo ya uchaguzi huyajui ww. Kwa taarifa yako CDM kwenye huu uchaguzi wametumia Tshs 1.345 bn ambazo zingetosha kufungua ofisi za wilaya au hata kata zipatazo 300 na zaidi. Na mmeambulia patupu na wengine wamezimia jana viongozi wenu, taarifa ziko wazi kabisa
 
Ng'azagala

JF-Expert Member
Jun 7, 2008
1,286
216

tehetehe

utaratibu ni kuwa mgombea atakaye wazidi wenzie hata kura moja tu basi ameshinda? hayo mengine ni ziada tu wakati mwingine kutokana na hasira, mara gharama ndogo/kubwa (bila figures) mara helicopta. huwa kuna kushindwa au kushinda basi hakuna kitu katikati
mimi siyo mshabiki ila naomba uangalie mgawanyiko wa kura za mjini na vijijini, CCM wana kura nyingi pia pale mjini na pia CDM wana kura vijijini hivyo analysis yako ya kwamba (23,260 kwa mjini tu yaani KATA 5! Huu ni wastani wa kura 4,652 kwa kata! CCM amepata kura 26,484 toka KATA 17! ) si ya kweli ni kwamba vyama vimeongoza katika kata hizo
 
makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,641
1,214
We Makoye acha ushabiki wa kijinga Mjini CCM na CDM wametofautiana kwa kura chache sana lakini center nyingine kubwa kama Ziba, Nkinga na Choma ni center za mjini lakini zote hizo CCM wameongoza nadhani unafikiri kwa kutumia masaburi,......

Achebe,
Wewe ndiyo unaleta ushabiki wa MASABURI. It seems your IQ is equivalent to that of a chicken! Nilichosema hujaki-digest na kujibu hoja yangu. Kwa vile unatumia Masaburi k.k.y. ya Magamba, umeamua kukurupuka tu!

CCM wameshinda kata 17 na CDM kata 5. Ucichoelewa hapo ni nini? Hivi Igunga MJINI kuna kata ngapi? Nilichosema ni kwamba kata nyingi walizopata CCM ni kutoka vijijini! CCM wenyewe wakti wa kampeni walikuwa wanatamba kwamba MTAJI WAO UPO VIJIJINI na that's why maji yalikatwa mjini Igunga na yakaelekezwa vijijini ili kuwarubuni Wanakijiji wa Igunga kuwa CCM wameleta maji. Na hapa ndipo unapoweza kubaini hila za CCM za kucheza na akili za Wana-igunga mbumbumbu!

Kama Rostam Aziz amekaa pale kwenye kiti cha Ubunge more than 15 years au tuseme CCM imeongoza jimbo hilo MORE THAN 50 YEARS na bado hakuna MAJI ila yanapatikana siku za Kampeni tu ni upuuzi na ujinga wa kiwango cha kupindukia!

Bado swala la CDM kwenda vijijini ni la msingi na halina mjadala kwasababu CDM imepanga KUWAKOMBOA WATANZANIA KWA UJUMLA WAO BAADA YA MIAKA 50 YA UTUMWA NA UKOLONI MAMBOLEO WA CCM-Chama Cha Mafisadi/Magamba.
 
makoye2009

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
2,641
1,214
Na wasiwasi wakati unaandika hii thread ulikuwa una hara kwani haina kitu na waonekana hata mambo ya uchaguzi huyajui ww. Kwa taarifa yako CDM kwenye huu uchaguzi wametumia Tshs 1.345 bn ambazo zingetosha kufungua ofisi za wilaya au hata kata zipatazo 300 na zaidi. Na mmeambulia patupu na wengine wamezimia jana viongozi wenu, taarifa ziko wazi kabisa

FoolishBrain,
Ok CDM wametumia Tshs.1,345 bn. Well and good. Haya CCM wametumia Tshs.10 bn+! Kwa hiyo unataka kusema kuwa CDM ndiyo wametumia pesa nyingi kuliko CCM???
Hoja yako kuwa CDM wangelizitumia hizo pesa kufungua ofisi za wilaya au hata kata zipatazo 300 na zaid ni dhaifu sana!
Wewe ulipashwa KUWAHOJI HAO MAGAMBA WENZAKO kwanini hizo 10 bn+ hawajataka kuziingiza kwenye MIRADI YA MAENDELEAO YA WILAYA YA IGUNGA KAMA MAJI,AFYA,SHULE,BARABARA na DARAJA kubwa lililiokuwa likipigiwa makelele na kina MAGUFULI kuwa watalijenga baada ya Uchaguzi wa juzi.

Kama miaka yote 50 tangu uhuru CCM wameshindwa kujenga miundo mbinu na kuboresha hali ya maisha ya wana-Igunga ndiyo wataweza sasa kupitia huyo FISADI WA MADINI Dr. Kafumu? Jibu ni HAPANA.

Mimi nawapa pole sana Wana-IGUNGA kwa uelewa mdogo na ufinyu wa mawazo wa kushindwa kupambanua ULAGHAI WA CHAMA TWAWALA na kukipa ridhaa ya kuwaongoza tena kwa miaka 4 ijayo. Hii itakuwa ni miaka ya mateso,njaa,maradhi,ujinga na ukosefu wa maji.

Poleeeeeeeeeeeeeeni sana kwa kutapeliwa na ri-CCM lenu. Bakong'wanzoka bing'we banadakama!
 
Kasesela

Member
May 10, 2010
44
10
Makoye,
Nimependa tathmini yako nzuri; naamini hata ndugu Mukama moyoni anaamini hili. CCM ilikuwa na mtaji wa "encumbacy" kwa kupitia serikali, viongozi wakuu, mkuu wa mkoa, wabunge na vyombo vyote vya dola. Aidha wana matawi kila kijiji, tarafa na wilaya, kimetokea nini. Kama ningekuwakiongozi wa CCM, ningeunda Think Tank kufanya tathmini. CDM hawakuwahi kuwa na nguvu Igunga tangu 2005 vyama vingi vilipoanza kushiriki chaguzi, tunajua CCM na CUF ndiyo walikuwa wanachuana, CDM wametoka wapi na nguvu mpaka wapate asilimia zaidi ya 40%! Miezi kumi na mbili tu iliyopita CCM walipeta kwa asilimia 75%, nini kimetokea mpaka waungukie 50.4%. Tuache porojo hili ndilo swali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

11 Reactions
Reply
Top Bottom