King Cobra(Prez SATA) bado anang'ata Mafisadi huko Zambia

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,334
Sata blocks K4billion to fake companyPresident Michael Sata has directed Police to immediately stop Zambia Revenue Authority -ZRA- from paying Four-billion kwacha to a fake company managing its scanners at Nakonde border post in the Northern Province.And the President has with immediate effect dissolved the Board of Directors of the Road Development Agency-RDA.
Issuing orders to Police, the President disclosed that -ZRA- was on Tuesday expected to pay 4-billion kwacha to a fake company called Bradwell Global Corporation Limited which the President said belongs to someone who occupied his office.Mr. Sata has directed the new Home Affairs Permanent Secretary Max Nkole and the new Police command to stop the payment and investigate how much has already been paid out to the bogus firm.He has further directed the ZRA to find its own people to manage the scanners at Nakonde border. In dissolving the RDA Board the President said it is surprising that the road agency awarded some contracts without tenders and made payments with unknown source of funding.The President was speaking Tuesday morning when he swore in New Permanent Secretary in the Ministry of Home Affairs Max Nkole and Deputy Inspector General of Police Stella Libongani. Mr Nkole once served as Executive Chairman at the Task Force on Corruption before its abolishment while the Ms Libongani was until her new appointment Central Province police commanding officer.


Meanwhile, President Sata has announced reforms in the police service with all Division Commands to be run by personnel with the rank of Commissioner of Police.

Source: Zambia National Broadcasting Cooperation
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,123
Nasikia anataka hamia TAZARA sasa nayo aibomoe ingawa inabidi ashauriane na JK kwa kadri mkataba unavyodai
Sasa huwa najiuliza watakaa meza moja na JK wakaelewana kweliManake ni hasi na chanya zikutanapom
 

echonza

Senior Member
Jun 25, 2009
163
15
Mr. Sata is the role model of the highly needed patriotic leaders of the African States. In just less than 30 days of his being in power, the man has done a massive and key decisions for the benefit of Zambians.
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,334
Mr. Sata is the role model of the highly needed patriotic leaders of the African States. In just less than 30 days of his being in power, the man has done a massive and key decisions for the benefit of Zambians.

Cobra is spitting on Mafisadi Lazima wapage huko Zambia, Mafisadi wetu wakina Kikwete, Mkapa, Lowassa, Chenge, Rostam na wengineo wakiona hivyo huwa wanazidi kupagawa na kutoa pesa, Rasilimali zetu walizotuibia kwa kuhonga wananchi wasiojijua. Ipo siku Mungu nasi atatupa mtu kama SATA.


Mungu ibariki Tanzania na utupe Rais kama SATA
 

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,618
2,123
Mbaya zaidi ni jirani zetu tunashindwa ata kudesa?
Ntashukuru akideal na ile queque ya magari pale Nakonde
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,898
10,401
Hongera Sata kaza uzi ulete maisha bora kwa wazambia waliokupa kura na wana imani kubwa sana na wewe....labda Pres ajaye atafuata nyayo zako hata kwa kuona aibu tu
 

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,334

PRESIDENT Sata has dropped Inspector-General of Police Francis Kabonde and replaced him with Copperbelt commanding officer Martin Malama. This came to light yesterday when Mr Sata swore in Dr Malama as new Inspector-General of Police at State House.

The President has since directed Dr Malama to help him stamp out corruption in all public institutions, including the Office of the President.

Mr Sata said there is so much corruption in Zambia, and that the vice must be fought with the vigour it deserves. He said even some officers at State House benefited from campaign vehicles that the MMD brought into the country in a corrupt manner.

"We need to sweep Zambia. Zambia is so dirty that even in my own office some of the people who are supposed to be guarding me benefited from corrupt canters (vehicles)…all of us are looking up to you the police command to help us sweep Zambia.

"There is so much dirt, including this office where I am. There is so much corruption that this country stinks. That is why people cannot get what they want," President Sata said.

He said he does not need any corrupt money for his re-election campaign or that of the PF.
"We want to serve the people of Zambia. What we have is for the people of Zambia and not for Michael Sata," he said. And Mr Sata could not swear in newly-appointed Deputy Inspector-General of Police Stella Libongani because of some technical mistakes on the oath papers.

Ms Libongani was addressed as ‘Commissioner of Police' instead of ‘Deputy Inspector-General of Police'.
President Sata said he could not swear in Ms Libongani using a wrong title and deferred the ceremony.


Source: There
 

Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,770
10,513
Kitu cha kujifunza:sata aligombea nafasi hii zaidi ya mara 4..hvyo basi idadi ya mara ulizogombea si lazima iwe ni uroho wa madaraka,what counts ni je una DHAMIRA ya kweli?SATA amedhibitisha hilo...
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,515
11,824
TICTS,BUZWAGI,IPTL,SONGAS,AGREKO,PAN AFRICAN ENERGY,VODACOM,SYMBION,STIMULUS PACKAGE,VIVUKO VYOTE TANZANIA-FERRIES,POLISI,MAHAKAMA,WIZARA MALIASILI,AFYA,NISHATI NA MADINI,PEMBEJEO ZA KILIMO NA KILIMO KWANZA,BARRICK,TRA,TANESCO NA KAMPUNI ZA UWAKILI ZOTE ndizo prez sata angeanza nazo tanzania maana zimekithiri ufisadi
 

Butola

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
2,290
748
Ni mapema mno kumsifia...

Ata Kikwete, Chiluba, Bakil Muluzi, Bingu wa Mutharika, Kibaki, Museveni, na Zuma kwa uchache walianza kwa mikwara hivihivi kabla ya "Waafrika" kugundua kuwa wameingizwa chaka, na Sata ni mshirika mzuri sana wa Bakil Muluzi.

...Sijui kwa nini Sata namfananisha sana na Frederick Chiluba, ngoja nijionee hii Episode Mpya ya "Kiongozi wa Afrika na Nguvu za Soda"...
 

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
11,282
5,721
Nasikia anataka hamia TAZARA sasa nayo aibomoe ingawa inabidi ashauriane na JK kwa kadri mkataba unavyodai
Sasa huwa najiuliza watakaa meza moja na JK wakaelewana kweliManake ni hasi na chanya zikutanapom
like charges repel while unlike atract. Jk & sata are unlike hivyo watakutana na kama ni makubaliano ujue upande wa jk ni hasara tupu!
 

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,634
4,472
Ni mapema mno kumsifia...

Ata Kikwete, Chiluba, Bakil Muluzi, Bingu wa Mutharika, Kibaki, Museveni, na Zuma kwa uchache walianza kwa mikwara hivihivi kabla ya "Waafrika" kugundua kuwa wameingizwa chaka, na Sata ni mshirika mzuri sana wa Bakil Muluzi.

...Sijui kwa nini Sata namfananisha sana na Frederick Chiluba, ngoja nijionee hii Episode Mpya ya "Kiongozi wa Afrika na Nguvu za Soda"...

just kuongea na kuteua mtu wa kushughulikia inasaidia mku. Siyo yale mambo ya NIMEWAPA MUDA WAJIREKEBISHE!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

6 Reactions
Reply
Top Bottom