Mapanga sha sha - igunga

Nov 28, 2010
31
5
Nilifikiri kwa kuwa uchaguzi umekwisha na mshindi wa ubunge amepatikana nisinge endelea kuzungumzia lolote juu ya Igunga!
Nimerudi na thread hii hasa baada ya kuona picha halisi katika CTV chadematv's Channel - YouTube
Nilichokiona:-
1. Watu waliozoea kuishi pamoja tangu kuumbwa kwa IGunga leo wana shikiana mapanga na kutaka kuchinjana - Matokeo ya siasa chafu na zizizo za kistaarabu.
2. Vyama havishindani kwa hoja ila ni kupakana matope na kuchafuana badala ya kushindana kwa sera - Nchi hii haina sera ya kuongoza vyama vya siasa? iko wapi office ya Tendwa?
3. Hasira za makundi sasa inakuwa ya kijamii na inazidi kushamiri na sina shaka inaendelezwa na CCM kwa uhakika kama hatatokea mtu/kiongozi mwenye uwezo wa kukemea na kufundisha siasa za kistaarabu mbeleni kutakuwa na hali mbaya sana - CCM hawako tayari kwa ustaarabu kwa kuwa ustaarabu ukiingia itakuwa mwiso wa utawala wao.
4.Tayari Igunga kuna uhasama mkubwa - kuna mtu wa kuwa tuliza? Reconciliation
 
Reconciliation
Anayehitaji hizo unazoita resonsociliasheni kwa mara ya mwisho niliziona pale Bank sijui bank gani ile anaweza akaenda kuzichukua.
 
Kuna watu walikwenda na bastola pale wakizivaa kiuononi kwenye jukwaa. Wengine walizifyatua. Mie nadhani chanzo ni hicho hapo. Bunduki za nini katika mji mtulivu kama Igunga?
 
GREENGUARD MUNGIKI ya CCM waende wakarekebishe hayo yote walioyaanzisha wenyewe Igunga.

Nilitoa onyo kwamba hiyo siasa ya utekaji, kufyatu mirisasi ovyo vijijini, kumwagia watu tindikali na kusingizia wengine, kubaka wake za watu, kuchoma nyumba CCM washikawaafundisha vijana wao kuwa ndio njia sahihi na ya kileo zaidi basi tujue kwamba huyo mtoto hatoishia na madhambi haya kwa hicho kipindi kimoja tu bali hiyo dhambi itatuchukua zaidi ya karne kuifuta - vijana hao haramu wa CCM mwisho wa siku watamalizia kabisa biashara kwa kuelekeza hayo madhambi yote kwa chama chao wenye huko mbele ya safari.

Vijana magaidi jinsi uwaleavyo ndivyo wakuavyo, CCM mjue uhasama wa Igunga si jambo la utani hata kidogo; na mbegu hiyo itasambaa kwingineko kwa wale wenye ndugu zao mliowachomea nyumba, kubaka ndugu za, na kuwakata mapanga.

Taasisi za haki za binadamu bila shaka hivi sasa watakua wanakaribia kuweka kituo ukurasa wa mwisho kwenye ripoti zao. Na hilo nalo ni mtihani mpya kwa dhana ya utawala bora nchini na uwezo wa kuendesha FREE AND FAIR ELECTIONS katika zama za vyama vingi nchin.
 
Wewe umewaona vijana wa CCM tu? Wale wa CDM waliowateka watu huwaoni? Mbona hamjakanusha kuhusu mamliki kutoka Tarime? nafikiri ni muda wa kuachaa siasa za kulalamika na kulaumu, tuwe na siasa za sera. You dot become taller by making others shorter!!!
 
Police ndio waliowakamata na je baada ya kuwakamata kwa nini wasingeenda kumkamata aliyewatuma?hayo ya Igunga nape alituhakikishia kwamba tusije tukawaumu,ina maaana ndio kazi ya Nape bado inaendelea,TIME WILL TELL.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom