Mukama akishangilia USHINDI WA IGUNGA

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
669
ig3.jpg
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
waache wafurahi tu kwa sasa muda wao wa kuangamia unakaribia, just round the corner
 
DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Sijaelewa! wanashangilia kushindwa au kushinda!. pamoja na nguvu na pesa zote walizotumia hawana aibu kupata kura chache hivyo ukilinganisha na miaka iliyopita!. na hizo pesa walizotumia huko wanatarajia kupata ngapi baada ya kupata huo ubunge. kama kweli CCM imeshinda basi wanaigunga mjiandae kunyonywa tena. na mi nawaomba muwe makini kwa kipindi kilichobaki, 2015 si mbali, mje muwaulize tena wamewafanyia nini huko Igunga. CDM hongera sana kwenu nyinyi kupata kura nyingi hivyo kwa kipindi kifupi ni ushindi mkubwa sana kwenu, mmeonyesha ukomavu mkubwa sana kwenye siasa ya TZ, kazeni buti ni wazi kabisa 2015 nyota ni yenu.
 
leo cdm hawana hata nguvu za kushika keyboard
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,499
62,704
Naona mikono yao inashangilia kuelekea kwenye maeneo binafsi ya wake za watu....oooh sorry kumbe CCm kila mke ni mke wetu.....nilsahahu kidogo.
 
Babuu blessed

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
1,363
488
Chadema ilikuwa inapambana na ccm-a na b,serikali,bakwata wilaya-mkoa-taifa na east africa.kudos cdm
 
Kibuje samli

Member
Jul 21, 2011
8
0
Hawana jipya hao kwani siku zao zinahesabika nasikia CDM wameshinda wanagoma kutangaza...aibu yao CCM,w
2015 ndio kiama chao..PEOPLES POWER DAIMA
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
27,803
30,345
Ni sawa acha ashangilie ushindi wa kibali cha kuwanyonya watanzania maskini yeye na kundi lake - ila wengine ni bendera fuata unapoelekea, ok job done kwa ccm sasa kumwona Mukama tena hadi 2015 october kuja kununua shahada, tena hawezi kuja igunga. Igunga ilikuwa na umuhimu tu wakati huu
 
WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,920
1,226
Wamefurahi kutokea kwenye tundu la sindano tena kwa pesa nyingi hadi kwenye foleni za kupigia kura.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom