Ni mwanachama gani wa ccm asiyekiri moyoni kuwa chadema ni tishio kwa ccm?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
396
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli ni kuwa mioyo ya akina Kikwete, Mukama, Chiligati, Nape, n.k lazima iwe inadunda kama ngoma ya mdundiko kwa kiwewe cha kupokonywa dola ifikapo 2015.
 
Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,582
755
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli ni mioyo ya akina Kikwete, Mukama, Chiligati, Nape, n.k lazima iwe inadunda kama ngoma ya mdundiko kwa kiwewe cha kupokonywa dola ifikapo 2015.

Hata kama ni vipofu na viziwi lazima salama wanayo.
 
Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,174
931
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli ni kuwa mioyo ya akina Kikwete, Mukama, Chiligati, Nape, n.k lazima iwe inadunda kama ngoma ya mdundiko kwa kiwewe cha kupokonywa dola ifikapo 2015.

Mwanachama kama mimi nakiri kwamba cdm iko mbali sana kuwa tishio..

Kwasababu Igunga ilishapangwa watu wafarijiwe kama hivyo...

Unaona sasa chadema wote wamefarijika na matokeo..lakini 2015 tunawapiga bao

Mnakuwa wa pili..were you belong and prefer most..complain corner.
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,597
1,812
na yule mwenye pua kama Kitasa Rejao sijui huwa anajikamumua kutetea Magamba.
 
mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Chadema si tishio kwa CCM, ni chama cha msimu hakitusumbui wala hata kukiwaza.
 
kanyasu

JF-Expert Member
Feb 9, 2009
234
17
mlienda igunga kugombea nafasi ya pili au ya kwanza? nawashangaa kujipongeza kwa kukosa ubunge,heri yako NCCR walijua moto wa ccm.
 
Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,521
4,963
Labda mwenye macho asiyetaka kuona ndo hatakiri kuwa cdm inawapeleka puta!
 
Chatumkali

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,039
456
mlienda igunga kugombea nafasi ya pili au ya kwanza? nawashangaa kujipongeza kwa kukosa ubunge,heri yako NCCR walijua moto wa ccm.

Wewe wasema!lakini najua mwk 2005 magamba mtaelemewa mbaya!mtakuja na gia la mseto hatuwezi kukubali.
 
twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,100
2,786
Tishio kwa kushinda ubunge igunga?.tishio kwa kupata madiwani 17 kati ya 21?.tishio kwa kutumia chopa?.tishio kwa matusi majukwaani? Rejea ripoti ya LHRC.kama ni tishio kwa kumwagia watu tindikali na kupiga viongoz waandamizi sawa.CDM iache kujifariji kwa upu.zi kwani Igunga ni tz kama mnasema hamkuwepo kabla lakini mmepata 23elfu kura kwani nani aliwakataza msiwepo? au mnakiri kuwa ni chama cha uchagani?.Najua hamna majibu.
 
Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
7,174
6,552
Ndugu zangu kwa mwenendo huu, bila shaka hata viongozi waandamizi wa ccm lazima wanakiri mioyoni mwao kwamba chadema ni moto wa nyika usiozimwa kirahisi. Ni vigumu kukiri hadharani lakini ukweli ni kuwa mioyo ya akina Kikwete, Mukama, Chiligati, Nape, n.k lazima iwe inadunda kama ngoma ya mdundiko kwa kiwewe cha kupokonywa dola ifikapo 2015.

Hawa ni sawa na makaburu na wakoloni, hawawezi kukiri hilo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom