Uchangiaji mada

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Tangu nianze kutumia na kuchangia thread mbali mbali hapa Jf mambo mengi nimejifunza mojawapo ni wanajanvi au wachangiaji kutoka nje ya mada husika (out of truck) na wengine kujikuta tukianzisha mada tofauti kabisa ndani ya hiyo mada lakini ikiwa nje ya mada husika.
Nimetafakari sana na kupata majibu haya 1.kutoelewa vizuri kinacho zungumzwa
2.kutokuwa na uvumilivu zaidi pale unapokuta kuna mawazo tofauti na yako
3.kuchukulia mambo kirahisi rahisi
4.jazba na huruka ya kuona mwenzako hajui na hafai
5.kutokuwa makini na uelewa mzuri wa jambo
6.Kuwa na wepesi wakufanya maamuzi bila kutafakari
Naomba wanajanvi kuwasilisha pia niko tayari kukoselewa
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
Join Date : 14th August 2011
Location : Iringa Municipal TZ
Posts : 223

Rep Power : 21
hata siku 60 bado bado lol. unapoingia ktk nyumba ya watu jifunze tamaduni zao na uzielewe kabla ya kukosoa, kwani umemabiwa sheria za jf zinakataza kutoka nje ya mada??? hii ni shehu ya kubadilishana mawazo,na wala hatuandiki insha huku,labda kaam umekuja na sheria zako mpya.
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
Mkuu kweli huwa kuna nyakati zingine jazba zinatawala. Kuna watu huwa si wavumilivu wa hoja na mara nyingi utaona maandishi kama "Umetumwa". Badala ya kujielekeza kwenye hoja mtu anaishia tu kusema umetumwa!!
 

kupelwa

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
1,087
448
pia kulaumu wengine, ni kukosa matazamo wa kujua changamoto na kuzikabili, pia utofauti ni msitakabari wa kufikia mwafaka, mdau achakuogopa toa maoni yako changamoto ni fursa za mwafaka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom