Kumbe kuna watu wawili waliuawa Igunga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe kuna watu wawili waliuawa Igunga.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by janja pwani, Oct 5, 2011.

 1. j

  janja pwani Senior Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo msibani hapa mburahati kuna kijana inasadikiwa kijana wa chadama anaitwa Okada aliuawa kwa kupigwa risasi na mjini igunga siku ya kutangaza matokeo ni kati ya vijana waliokuwa wanafanya maandamano kabla ya matokeo kutangazwa na inasadikiwa kuwa ameishazikwa ambapo leo wanandugu walifika Makao makuu ya chadema kinondoni na kulalamika kuwa wanataka maiti ya ndugu yao waje wazike wenyewe hapa Dar es salaam
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Chadema wana mortuary siku hizi?
   
 3. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Kwa nini azikwe haraka kinafichwa kitu gani?????????? Je amaefanyiwa postmortem kujua course of death au ni vanga vanga tuu!!!!!!!! Wandugu waliofiwa poleni sana, kazi ya wanamaghamba hiyo!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 4. T

  Thadeus JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 24, 2007
  Messages: 266
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Acha uzushi. nani kakwambia? Yaani mtu amekufa Igunga basi ni lazima iwe ni kwa ajili ya CDM? Naamnini kuwa CDM hawangekaa kimya kama ingekuwa ni hivi. Watu wawili? No way!!!
   
Loading...