Natamani nchi wapewe Zitto, Jussa, Mnyika na Januari

Kiwalani

Senior Member
Feb 25, 2010
129
12
Jamani hivi ikitokea Rais JK akawaita Ikulu hawa vijana - Zitto Kabwe, Ismael Jussa, John Mnyika na Januari Makamba, na kuwakabidhi nchi, akisema, "nawapa hii nchi kwa sababu nina imani na uwezo wenu na sijali itikadi za vyama vyenu, tunachotaka ni maendeleo ya nchi". Unadhani atakuwa amefanya jambo la busara?
 
Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
46,981
63,946
Hii ni ndoto hebu tujadili realities! Hapo itakua NOMA full mchakamchaka
 
Zion Train

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
501
78
hile wizara ya waziri anayetibiwa india ni bora nagepewa january makamba, mie huwa sielewi inakuwaje tunakosa maji salama, umeme wacha nitatumia kibatari,lakini maji salama jamani haikubaliki.
 
TOWNSEND

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,598
458
fafanua vizuri sio unaleta pendekezo bila maelezo nani anaweza nini.....
 
Kiwalani

Senior Member
Feb 25, 2010
129
12
fafanua vizuri sio unaleta pendekezo bila maelezo nani anaweza nini.....

Mkuu,

Kitu nilichogundua kuhusu hawa jamaa ni kwamba huwa hawakurupuki kusema kitu bila kuwa na uhakika; ni watu wanaofanya research kabla ya kusema chochote ..... wanaangalia nini chanzo cha tatizo, possible solutions na wanare-commend the best solution kutokana na hali ilivyo ... kwa kifupi, hawa jamaa ni very analytical!! .... na ndiyo viongozi tunaowataka .... siyo viongozi wa kizimamoto zimamoto!!
 
Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,636
1,903
namkubali sana Jussa anajua kujenga na kutetea hoja regardless Chama.
 
Mwera

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
964
88
Jussa hajapewa ubunge nakikwete,ni mwakilishi wa jimbo kuu la zenj la mji mkonge jimbo lenye idara na ofis zote za serkali na ikulu pia ipo hapo,ndio jimbo lenye wapiga kurawengi kulikowote zenj.nikiongozi mwandamizi wa cuf tokea imeanzishwa,ndio waanzili wa mwanzo wa vyama vingi miaka ya 1990,huyo ndie ISMAIL JUSSA LADHU MWAKILISHI WAJIMBO KUU LA ZENJ LA MJI MKONGWE.
 
mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,680
251
Nchi awape Chadema si mchanganyiko wa wafuasi wa magamba na watu makini kwani watakwamishana.
 
Mfwatiliaji

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
1,325
64
wewe mleta hoja ni mpuuzi..kikwete hana ubavu huo..hiyo nafasi aliyo nayo amelaizimisha mwaka jana!! kwa nini watu hampendi kusema ukweli? ooh! sijui Zitto, sijui jussa, sijui Mnyika, sijui makamba..weka wazi kwamba ni huo mtizamo wako! period
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,879
9,832
Mkuu vipi kuhusu Makamanda wengine kama Tundu Lissu, Mr. II, Godbless Lema, Wenje na Nnape?
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,879
9,832
Jussa hajapewa ubunge nakikwete,ni mwakilishi wa jimbo kuu la zenj la mji mkonge jimbo lenye idara na ofis zote za serkali na ikulu pia ipo hapo,ndio jimbo lenye wapiga kurawengi kulikowote zenj.nikiongozi mwandamizi wa cuf tokea imeanzishwa,ndio waanzili wa mwanzo wa vyama vingi miaka ya 1990,huyo ndie ISMAIL JUSSA LADHU MWAKILISHI WAJIMBO KUU LA ZENJ LA MJI MKONGWE.

Mkuu katika Bunge la tisa Jussa aliteuliwa na Rais kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mara tu baada ya Muafaka kati ya CCM na CUF. Ilikuwa karibia na Bunge la Tisa kumaliza kipindi chake. Kwa sasa ni mwakilishi kama ulivyosema.
 
Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,940
Jamani hivi ikitokea Rais JK akawaita Ikulu hawa vijana - Zitto Kabwe, Ismael Jussa, John Mnyika na Januari Makamba, na kuwakabidhi nchi, akisema, "nawapa hii nchi kwa sababu nina imani na uwezo wenu na sijali itikadi za vyama vyenu, tunachotaka ni maendeleo ya nchi". Unadhani atakuwa amefanya jambo la busara?

JK angekuwa na ujasiri huo asingechakachua matokeo ya mwaka jana.

JK angekuwa na imani nao angemteua January kuwa waziri ama naibu waziri.

JK angekuwa na imani hiyo angemteua jusa kuwa waziri ama naibu waziri kwakuwa ni mshirika wao kufuatia ndoa ya magamba na cuf kule kisiwani.
 
Mwita Maranya

JF-Expert Member
Jul 1, 2008
10,565
7,940
Jussa hajapewa ubunge nakikwete,ni mwakilishi wa jimbo kuu la zenj la mji mkonge jimbo lenye idara na ofis zote za serkali na ikulu pia ipo hapo,ndio jimbo lenye wapiga kurawengi kulikowote zenj.nikiongozi mwandamizi wa cuf tokea imeanzishwa,ndio waanzili wa mwanzo wa vyama vingi miaka ya 1990,huyo ndie ISMAIL JUSSA LADHU MWAKILISHI WAJIMBO KUU LA ZENJ LA MJI MKONGWE.

Mkuu usiwe mvivu wa kujisomea pamoja na kutunza kumbukumbu.

Jusa aliteuliwa na kikwete kuwa mbunge katika bunge la tisa baada ya muafaka wa magamba na cuf uliopelekea kuundwa kwa SUK.

Kwa sasa ndiye mwakilishi wa mjimkongwe baada ya kuchaguliwa mwaka jana kama ulivyotaja.
 
Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,262
837
Mkuu usiwe mvivu wa kujisomea pamoja na kutunza kumbukumbu.

Jusa aliteuliwa na kikwete kuwa mbunge katika bunge la tisa baada ya muafaka wa magamba na cuf uliopelekea kuundwa kwa SUK.

Kwa sasa ndiye mwakilishi wa mjimkongwe baada ya kuchaguliwa mwaka jana kama ulivyotaja.

Sanya ni mbunge wa wapi?
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,563
7,141
Jamani hivi ikitokea Rais JK akawaita Ikulu hawa vijana - Zitto Kabwe, Ismael Jussa, John Mnyika na Januari Makamba, na kuwakabidhi nchi, akisema, "nawapa hii nchi kwa sababu nina imani na uwezo wenu na sijali itikadi za vyama vyenu, tunachotaka ni maendeleo ya nchi". Unadhani atakuwa amefanya jambo la busara?

Kumbe ni ikitokea!!?no comment sbb wewe unazungumzia watu badala ya masuala ya nchi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom