Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaam Sana Wadau wa Jf, Najikaribisha JF kwa uzi huu. Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya Kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Watanzani hatujapata kuwahi kupata mgombea wa Urais mwenye sifa nzuri na asiye na kashfa mtu muadilifu kitaifa na kimataifa tangu uanze mfumo wa vyama vingi zaidi ya Prof Ibrahim Lipumba lakini...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya...
1 Reactions
94 Replies
9K Views
Wednesday, 05 October 2011 19:55 ADAIWA KUTOA TAARIFA NEC ZINAZOKINZANA KUHUSU ALIKOZALIWA Waandishi Wetu SIKU chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga, inadaiwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimesikitishwa na habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Habari Leo ukurasa wa nne kwamba wakazi wa Ludewa wanakula nyani kutokana na kushindwa kumudu gharama ya kununua nyama ya ng'ombe. Watanzania...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mhe. Mbunge Lembeli akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Urambo amefumba fumbo kwamba wasioishi hapa Tanzania na wasiojua kwa nini watanzania ni masikini ndiyo waliyotufikisha hapa tulipo...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Wote tuliokuwa tunafuatilia vita dhidi ya ufisadi tunafahamu hatua kwa hatua tangu kutangazwa kwa ile 'list of shame' hadi kujing'atua kwa Rostam na hatimaye uchaguzi mdogo jimbo la Igunga. Kwangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna madai ambayo tulianza kuyasikia siku ya J'pili wakati waupigaji kura kuwa watu walikuwa wanakataliwa kupiga kura kwa sababu mbalimbali. Na baadaye madai haya yametolewa na pande zote mbili...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 6-day Intensive program geared toward developing knowledge and practical skills necessary to perform ICT Audit, Risk Management and...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WanaJF leo niko mbali sana ya mji lakini kuna jamaa yangu kaniambia kama kawaida tena leo gazeti la RAIA MWEMA lilikuwa na habari isiyopendeza inayohusu kinachoitwa mgawanyiko ndani ya chadema...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
mwandishi charles mullinda wa gazeti la dira ya mtanzania la 6/10/2011 anaripoti kuhusishwa kwa baba wa taifa na uuzaji wa wanyamapori, hawa mang'unyuka ndiye anayetajwa kuombewa kibali na baba wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mgombea CUF Igunga akumbwa na tuhuma Send to a friend Wednesday, 05 October 2011 19:55 0diggsdigg ADAIWA KUTOA TAARIFA NEC ZINAZOKINZANA KUHUSU ALIKOZALIWA Waandishi Wetu SIKU chache...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam Sana Wadau wa Jf. Najikaribisha JF kwa uzi huu. Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia maoni ya wana JF kuhusiana na matokeo ya igunga ambayo yamekipa ushindi chama cha ccm. Wengi wa wana chadema wanajipa moyo kuwa chama kilikuwa na hakina kitu na hivi sasa kimepata...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kampeni za CUF Igunga zilizinduliwa na Maalimu Seifu sikuwepo huko lakini akiwa Dar huwa anapita na vingora na barabara kufungwa vipi alipokuwa akipita kwenye barabara za igunga na je kwa stahili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hallo wana JF!! Ningependa kujua mawazo yenu kama great thinkers,Je,ukipata nafasi ya moja kwa moja kuongea na Jakaya Kikwete kuhusu mstakabali wa taifa hili kwasasa na baadae,UNGEMWAMBIA NINI?
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Matokeo ya kidato cha nne mwaka jana yameonesha kwamba baada ya mda si mrefu tutalizika kabisa taifa letu, kwani ni dhahiri elimu yetu inazidi kushuka kwa kasi ya ajabu. Inasikitisha sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mbali na mapungufu mengi sana ya mfumo wa uchaguzi na TUME YENYEWE YA UCHAGUZI ambavyo vimekuwa vikilalamikiwa sana kutaka kubaka demokrasia nchini lkn ikweli ni kwamba bado moto wa mabadiliko ktk...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Hili ni swali la kihistoria si la kisiasa. Kwa wale wanaojua ni jinsi gani na ni nani aliyewaunganisha Wazanzibar kuwa nchi moja na kuwapa utambulisho wa utaifa kuwa wao ni Wazanzibari? Swali hili...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…