Mnafiki SITTA jana ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnafiki SITTA jana ITV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marytina, Oct 6, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  jana kwenye taarifa ya habari saa mbili ITV niliona Mzee SITTA akizindikwa kuwa mzee wa mkoa wa TABORA
  Sherehe hii kwa Tabora ina maana kuwa SITTA ni mtu aliyesaidiana sana maendeleo ya Tabora

  SITA akihutubia alisema kuwa yeye na wenzake watetengeneza mtandao wa kuondoa dhuluma dhidi wa walalahoi unaofanywa na serikali na ua CCM,Mgeni mwalikwa alikuwa JAMES LEMBELI mzee wa ndege za Barrick

  My take:SITTA ni mnafiki namba mmoja kuwahi kutokea katika siasa za leo.Tuliozaliwa lmiaka ya late 1980 tulikuwa tunaambiwa na baadhi ya wazee kuwa Maalim Seif ni mnafiki kuliko wazanzibar wote na sasa tumeanza kuamini.

  Sitta hana punje ya uzalendo ila anakerwa na kunyimwa uwaziri mkuu, Sitta pia anatakiwa abebeshwa zigo la Dowans
  Sitta mpaka kesho anaishi nyumba ya Spika, alijenga ofisi ya spika urambo?alikubali kuondoa dowans bungeneni kwa ahadi ya kuendelea na uspika?aliunga mkono posho, mkwewe alidakwa na takukuru akisambaza simu ila sheria imemwogopa.
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mhh
  i blv aujatumwa?
  thou sijui km ni mnafiki au si mnafiki
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  rose bora unafki wa maalim seif kuliko huu wa SITTA
  (ingekuwa hapa ni MMU ningekupa za uso ile mbaya)Merytina
   
 4. Chuma Chakavu

  Chuma Chakavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,524
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu sana kukubaliana nawe maana kwa maoni yako tu naona nawe ni mnafiki bin mzandiki!
   
 5. M

  Marytina JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ebu nitajie kipi cha maana alichofanya SITTA kama si kutulipisha mabilioni ya Dowans kwa chuki feki zake dhidi ya mafisadi???
   
 6. m

  massai JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  bonge la nafiki hilo zee,uoza ni wa sisiemu na serekali yake,aache unafiki huyo mzee,alakini hawa wazee magamba wanazeeke vibaya kwa sababu y dhulma wanayowafanyia watanganyika,makipo hapahapa.
   
 7. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,867
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Rose1980, hapa mimi bado niko bado natafakari kuhusu mwelekeo na misimamo ya BAADHI ya wana JF wenzetu waliojiunga kuanzia July 2010 wakati tukielekea uchaguzi mkuu. Naona kuna wengine walijiunga ili kutekeleza interest binafsi, maana kada la hawa watu ni bifu, majungu, uongo, uzandiki, hadithi za kufikirika nk. tu kwa kwenda mbele. Tafakari, chukua maamuzi!!
   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  kama huna kundi unafanya nini kwenye siasa?
  SITTA alikuwa kipenzi cha watz lakini mambo aliyoyafanya mwishoni wa 2010 na 2011 yamedhihirisha ni mnafiki sana.
  Kama ana uzalendo kwa nini alipingana na wanaotaka posho zifutwe (900 bilioni kwa mwaka)
   
 9. only83

  only83 JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sina confidence na huyu jamaa hata kidogo...
   
 10. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Makes sense, pamoja na mapungufu yake, bado Sitta angalau ni mzalendo kulinganisha na wenzake ambao Nyerere aliwakabidhi nchi yetu, wakaifanya yao.
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145


  Ina maana wewe unawapenda mafisadie!!!!?????
  Basi nimekuogopa tena kama ni hivyo wewe ni mnafki kuliko watanzania wote!!
   
 12. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Sitta ana mahesabu ya kupitishwa agombee Urais 2015 na chama fulani ambacho siyo CCM ndiyo maana anahangaika kutengeneza muonekano wake uwe wa kizalendo. Subirini mtasikia, iwapo mpango wake hautagundulika mapema.
   
 13. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kwenye kijani hapo na wewe umetumwa uje kumsafisha nani,mbona wanafiki kwenye chama chenu wengi tu,wakisema ukweli wanaaambiwa wasubiri vikao vya chama,kwenye vikao vyenyewe vya chama hakuna lolote kama vikao vya harusi tu,mwache aseme ukweli hakuna unafiki wowote ule.
   
 14. F

  FUSO JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  maria 1047, wewe upo kundi gani ndani ya wanamagamba?
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  labda afufue CCJ
   
 16. F

  FUSO JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  mtu wa porini, hebu badilisha rangi - sisi wengine tuna alegi na hilo li-rangi ulilo highlight - kwanza maneno hayasomeki kama walivyo wao.
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi sio CCM na kama ningekuwa ccm basi mimi ni CCM nyerere (ukimwondoa SITTA)
   
 18. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  [h=2]Re: Mnafiki SITTA jana ITV[/h]

  [​IMG] By Mama Mdogo [​IMG]
  Rose1980, hapa mimi bado niko bado natafakari kuhusu mwelekeo na misimamo ya BAADHI ya wana JF wenzetu waliojiunga kuanzia July 2010 wakati tukielekea uchaguzi mkuu. Naona kuna wengine walijiunga ili kutekeleza interest binafsi, maana kada la hawa watu ni bifu, majungu, uongo, uzandiki, hadithi za kufikirika nk. tu kwa kwenda mbele. Tafakari, chukua maamuzi!!
  Mama mdogo hapo juu uliyoyasema ni ukweli mtupu!!
  Inaelekea kuna watu wameingia JF kwa nia zao mbaya ila hawawezi badilisha kitu kwani watanzania wa leo wanaona ukweli, wanaujua ukweli na wanaweza kuchambua mambo na kufanya maamuzi yenye manufaa!!
  Kwa hiyo kama wanajidanganya wanaweza kubadilisha hayo wanajichosha tu heri wamwache Sitta aseme kuisadia serikali isiyoweza kukemea uovu!
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  NIMEJITOLEA KUWAELEKEZA WANA jf KUWA KAMA SITTA anaujua ukweli kuhusu Dowans basi auseme hadharani na ajiuzuli kupinga malipo.
   
 20. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hana uzalendo huyu mtu hata kidogo. Kwanini alijenga ofisi ya spika urambo? Au alitaka kuwa spika wa maisha?
  Kwa nini ali-align na wachumia tumbo wengine wa magamba kuhalalisha maposho hayo ambayo ni mzigo kwa taifa?
  Kwa nini alizuia richmond kujadiliwa early mwaka jana? Si ndo maana tumefikishwa kwenye kulipa mamia ya mabilioni wakati hali zetu zinazidi kudorora?
  Namhate sana huyu mzee na magamba wote.
  Hakuna afadhali mle, wote ni magamba tu. Lazima yavuliwe ili tubaki salama. Tena ingekuwa amri yangu, CCM ingefutiliwa mbali na wanachama wahusika waliotufikisha hapa wangefunguliwa mashtaka kwenye special tribunal.
  Majiniwatu haya.
   
Loading...