Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

Shy-Rose awapa vidonge wanafiki wote!

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
419
Reaction score
218
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM iko siku nitawaumbua tena kwa majina yenu na ushahidi kwamba mnajifanya mnakipenda chama huku mkisema vibaya pembeni...chama chetu kinafanya vibaya kwanini msiseme ukweli hadharani?

Wengine wanadiriki hata kuwa na accnt 2 au 3 kwenye fb, moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli kuhusu chama..mnachoogopa ni kipi? kwa nini hamtaki kuwa majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...
 
mi namzimia sana huyu bi dada! Haya kayasema kule fb!
 
aungane na makamanda kama vp manake ccm kule wata m use na kumtupilia mbali!
 
Source iko wapi isije ikawa umetumwa tu kumchafua Shy-Rose
 
Shy-Rose Bhanji "wote mnaojifanya ni makada wa CCM
iko siku nitawaumbua tena
kwa majina yenu na ushahidi
kwamba mnajifanya
mnakipenda chama huku
mkisema vibaya pembeni...chama chetu
kinafanya vibaya kwanini
msiseme ukweli hadharani?
wengine wanadiriki hata kuwa
na accnt 2 au 3 kwenye fb,
moja wanajidai kusifu na zingiene wanaongelea ukweli
kuhusu chama..mnachoogopa ni
kipi? kwa nini hamtaki kuwa
majasiri? au hamjiamini???
KUDADADAIKYI"...

Ngoja mi nianze kuwataja..! NAPE,NCHEMBA,6,JANUARY MAKAMBA,CHATANDA,KIGWANGALA,BASHE,Hawa wote wapo ccm kimaslah so 2015 watakuwa wapinzan!
 
Ana stress za kulikosa jimbo la kinondoni ..kumwaga na jaffary mshamu.kwanza asijiite mwanaharakati maana sioni uanaharakati wowote..aache kufikiri kwa kutumia masaburi.
 
Sidhani kama anakiamini anachosema!!!
 
Siwezi kujadili mipasho ya huyu mwanamke!
Kama unayajua hayo si uende pale lumumba ukamwambie Mukama, hayo maneno
 
Shyrose=Six=Mwakyembe= Kilango=wanafiki ndani ya ccm.
 
Huyu dada hana maadili kabisa...dawa yake ipo jikoni lakini, soon atavuna alichokipanda
 
Shy-Rose is a kind of ward-heeler being in politics only to meet her inordinate acquisitiveness for riches. She represents a number of courtesans who exploits the licentiousness of CCM's archons to make gains out it!
 
anamchafua ama anamsafisha? unadhani ni sifa sana kushabikia ccm? unless una umri wa kingunge!
Raha ni kuwa mwanachama wa chama kinachoshinda...kama haupo CCM, u are in the looserz side
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom