Cuf wenzangu nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cuf wenzangu nisaidieni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kausha, Oct 6, 2011.

 1. k

  kausha Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kampeni za CUF Igunga zilizinduliwa na Maalimu Seifu sikuwepo huko lakini akiwa Dar huwa anapita na vingora na barabara kufungwa vipi alipokuwa akipita kwenye barabara za igunga na je kwa stahili hizo amabazo ni haki yake wananchi wanaotaka mabadiliko ya nchi waliweza kutofautisha kati ya mkapa na seifu na je alipopanda jukwaani kwa vyovyote akilindwa na makumi ya wanausalama wa taifa na polisi alipata ujasiri wa kuikemea serikali ya chama cha mapinduzi kama aliweza watu watapima vipi ukweli wa maneno yake nimeisha shuhudia Siku ya kwanza tulipompokea makao makuu ya CUF buguruni baada ya Muafaka na kwenye mkutano wa Hadhara Temeke Mwisho Sefu sio yule huyu ni serikali anayotaka kuiondoa madarakani sijui kama yuko tayari kujiondoa mwenyewe. inawezekana Muafaka una Manufaa Zanzibar Bara ni kabuli la CUF inawezekana Ngunguli Kamshinda Ngangari Cuf yetu Sio ile mafuso yetu yote yameondoka na Muafaka.
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  wapemba wameteka na kuua chama cha CUF na cha kusikitisha mwenyekiti Prof Lipumba hana kauli yeyote anaburuzwa na katibu maalim seif, hivi CUF bara mmerogwa mbona mnaburuzwa kama mabwege na wavisiwani

   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Shauri yenu na CHOPA yenu mliyopewa na ROSTAM+CCM
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mtumbwi ni chombo muhimu huko zenji ila ni gogo la kuachwa shambani litafunwe na mchwa bara
   
Loading...