Vigogo wa ccm ndio wanaovusha sukari nchi jirani ya kenya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vigogo wa ccm ndio wanaovusha sukari nchi jirani ya kenya.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIRING'OTI, Oct 6, 2011.

 1. KIRING'OTI

  KIRING'OTI Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Salaam Sana Wadau wa Jf.
  Najikaribisha JF kwa uzi huu.
  Lile sakata la kutorosha sukari kwenda nchi jirani ya kenya limefika patamu hapa kwenye jimbo la Waziri wa Kilimo na Chakula. Marafiki zake ndio wasafrishaji wakubwa wa bidhaa hiyo inayotumiwa na kila Mtanzania. Tazama attachment hizi halafu tujadili. Huyu Bwana Maghembe amemfungia Leseni Marenga Investment ambaye ndo alikuwa mkombozi wa watu kwa kuuza sukari kwa bei tunayoimudu kumbe ni ili jamaa zake wairushe ng'ambo.
   

  Attached Files:

 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mbona documaa hazima mhuri hata signature?
   
 3. KIRING'OTI

  KIRING'OTI Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zimepatikana wakati huyu afisa mtendaji akipiga maji sehemu fulani hivi. Unajua toloha hamna umeme sasa alipanda town kuja kuchapisha ndo akajisahau kwa mtindo huo. By the way nitaifuatilia ambayo tayari itakuwa imeasiniwa na mhuri kwani nina pr. nzuri na watu fulani pale masjala ya Halmashauri ikipatikana tu nitaitundika hapa
   
Loading...