Lengo lilikuwa ni Mbunge si kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lengo lilikuwa ni Mbunge si kura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Oct 5, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa napitia maoni ya wana JF kuhusiana na matokeo ya igunga ambayo yamekipa ushindi chama cha ccm. Wengi wa wana chadema wanajipa moyo kuwa chama kilikuwa na hakina kitu na hivi sasa kimepata kura. Huu uchaguzi haukuwa wakutafuta idadi ya kura za vyama bali ni mbunge. Na kama ingekuwa kujua idadi ya kura mgetafuta njia zingine za kujua hilo.
  Kwa maana hiyo basi, mambo yakusema tumepata kura halikuwa lengo lake, lengo nikumpata mbunge. Kama hukumpata mbunge ina maana hukutimiza lengo lako na huna sababu yakujisifu.
  Hizo ni kauli za kuliwazana tu humu ndani na kutiana moyo (kujifariji). Kubalini mmeshindwa kwenye uchaguzi huru na wa haki, jipangeni upya.
   
 2. n

  nyamagaro JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Baada ya serikali kutumia fedha nyingi (3+billions) Igunga waambie serikali ikalipe mishahara ya wafanyakzi ambao mpaka sasa hwajalipwa.
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Billioni 3 ni fedha za chama si serikali. CDM mmetumia pesa igunga mmefilisika akaunti za benki zote hakuna kitu, mnasubiri sasa bwana yenu ccm awape ruzuku ndio mpate nafuu.
   
 4. M

  Mwera JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli wameshindwa wanajifariji kua wamepata kura nyingi,aah wapi wangepata kura nyingi si wangeshinda?mlienda ktk ushindani wakutafuta ubunge mmekosa kubalini kushindwa,ila sio mbay cdm mkijifariji hivyo kama ndio mnaona inawapunguzia machungu ok endeleeni kujifariji,HAYA MMEPATA KURA NYINGI EEHH! Toto achen kulia bhaana.
   
 5. F

  FUSO JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  mkuu tatizo lako ulikimbia somo hisabati darasa la tano - mle kuna kitu kinaitwa statistics. kwa hiyo wadanganye wenzako mliokuwa mnagawa nao mahindi kwa wapiga kura wenye njaa wakati wa kampeni - hao watakuelewa 'cause mpo level moja.
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180


  Kila unachokileta hapa JF ni majitaka tu,nakushauru mambo yafuatayo kama mtanzania mwenzagu....

  1. Acha kupost threads wala kuchangia uwe unasoma mawazo ya great thinkers....unatia aibu
  2. Ukapate councelling kwa madaktari wa akili....
  3. Unaweza ukawa na pepo wa kukataliwa kuna Mzee wa upako na Mbunge wenu Mama Rwakatare wanaweza kukuombea...
  4. Acha pupa tulia,tafakari,chunguza ndio ufanye jambo.....
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jamaa wamechanganyikiwa sana na siku ya matokeo walizimia baadhi ya viongozi wao kwa mshtuko. Na wao wamekiri humu JF kuwa hv sasa akili zao haziko sawa baada ya dhoruba ya igunga, wamechanganyikiwa !
   
 8. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wale wale walio kiri kuchanganyikiwa na dhoruba la igunga mpaka kuzimia kwa wanachama + viongozi wao . Tunajua imewauma sana kukosa igunga ila kuweni na subira na uvumilivu mtaipata nchi 3025. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Msitake kuwadanganya watu na kujifariji kwa suala eti oooooh kura kura hilo halikuwa lengo, lengo nikumpata mbunge. Kama mlitaka kujua idadi ya watu wanao wa support si mngefanya research mngejua ? acheni kujifariji magwanda mmefanywa kitu mbaya kote kote !
   
 11. 123yrz

  123yrz Member

  #11
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umedumazwa akili na ccm wewe pumbav kweli unapost vi2 vya kipumbav,haya nambie ruzuku inapatikana vipi?.
   
 12. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Thanx mpenzi wangu na kweli CHADEMA zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
   
 13. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,064
  Likes Received: 2,945
  Trophy Points: 280
  BWANA FUSO Takwimu unazosema leo hii baada ya uchaguzi hazisaidii kitu. CDM mmekuwa wa pili haijalishi wa kwanza kawashinda kwa kura ngapi. Jipangeni upya. Hizi danganya toto za mabosi wenu waambieni tunataka kushinda. Visingizio vya mahindi havina nafasi hapa. yapo maeneo mengi hayakuwa na uchaguzi wamepata mahindi. Musoma wamepata mahindi. Ulitaka watu wafe kwa njaa tusubiri uchaguzi uishe?
   
 14. Laface77

  Laface77 JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2011
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 1,301
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Bakwata ndio walioshinda Igunda!
   
 15. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  CCM ana mtoto wake wa kiume anayeitwa Serikali ambae sasa yeye amewaoa wake wengi akiwemo mmoja anaitwa chadema. Sasa huyu serikali anampa mkewe chadema ruzuku ili nae apendeze pendeze kwa kwenda salon nk
   
 16. u

  ugali Member

  #16
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Nadhani sisi watanzania tunaishi katika Tanzani tofauti sana na nadhani kuna tanzania mbili-ya wanaokula kwa ccm (3%) na wanaokula kwa jasho lao (97%). Hivi kwa hali ilivyo leo, unaweza kushabikia uwezo wa CCM kututoa katika hali hii tuliyonayo? Naomba wana JF tuwe wakweli na si ushabiki tuu.

  Ngoja nikaangalie kama mshahara wangu wa mwezi uliopita kama umeingia benki.

  Mwalimu.
   
 17. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  nilikuwa napita kumbe hii thread kaianzisha huyu tia maji tia maji!
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mtasema mengi sana ila yote ni yote mmechanganyikiwa akili zenu wote haziko sawa
   
 19. ipogolo

  ipogolo JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 4,064
  Likes Received: 2,945
  Trophy Points: 280
  RUZUKU? unamuuliza nanii? Kamuulize katibu wako atakujibu. kama mmetumia milioni 400 mmekwisha. hiyo ni ruzukum ya miezi 4. mtalala njaa mpaka mtakoma. Mnafikiria kumchangia kashindye kupitisha bakuli. looh.
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sio hivyo ni mumeo GeniusBrain ! anae kupa raha
   
Loading...