Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bwana katibu mwenezi wa CCM tafadhali naomba unieleweshe kitu kimoja tuu, ni nini ulikuwa mchango wako kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga?
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Nilimsikia Dr John Pombe Magufuli akiapa kwa jina la Mungu kwamba atajenga Daraja kule Igunga! Je, ni ahadi gani nyingine walizoahidiwa wana Igunga na Magamba ili zikishindwa kutekelezwa CCM...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMANI TUWE WAUNGWANA PENYE PONGEZI TUTOE PONGEZI!!! nimekuwa mfuatiliaji kwa siasa za Tz hasa kipindi ambacho Bw,Mkapa alipokuwa akigombea kwa awamu yake ya kwanza,MVUTO,WAPENZI NA NGUVU YA CCM...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ZAIDI ya nchi 50 duniani zimejadili ripoti ya haki za binadamu iliyowasilishwa na Tanzania katika Baraza la Umoja wa Mataifa mapema wiki hii na kuielezea kuwa licha ya kuonyesha mafanikio, lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yule msomi na kiongozi wa REDET toka chuo kikuu cha DSM Dr Benson Banna hatimaye amekiri wazi kuwa CHADEMA sasa inakubalika. Tofauti na kawaida ya Dr Banna kuonekana mara nyingi kulalia upande...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Wakati tukiwa kwenye mtanange mkubwa wa uchaguz mdogo wa udiwani kata ya kikuyu kusini manispaa ya Dodoma kutokana na aliekua diwani kufariki mapema mwaka huu, diwani mwingine wa kata ya...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
ni baada ya kutumia cim ikiwa jela kumwambia kwamba japo kuwa alimtosa akamwacha afungwe miaka 2 lakin hatimaye anatoka .source.udaku
0 Reactions
15 Replies
2K Views
CCM wakakimbilia kwenye madhehebu ya dini ila kujali kuihatarisha amani ya nchi na kuomba wasaidiwe kuilaani chadema.... Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC...
2 Reactions
100 Replies
9K Views
Haya yamezungumzwa na mh Tendwa kuwa upinzani unakuwa kwa kasi ya 40 asilimia na magamba yanaporoka. Kuna watu humu jamvini wakiambiwa huwa wanabisha sana nadhani sasa wataelewa maana hata hao...
1 Reactions
89 Replies
8K Views
Na Maggid Mjengwa UKWELI ni majeruhi wa kwanza pande mbili zinapoingia kwenye mapambano. Ndivyo inavyokuwa. Maana, kwenye vita yeyote iwayo, risasi ya kwanza huelekezwa kwenye ukweli. Ndio...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Nani anasathili kuchaguliwa?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati wa kuvunjika kwa nchi za kijamaa ni ujamaa uliolaumiwa kwa matatizo ya kiuchumi ya nchi hizo. Wasomi wa Kimagharibi na wale wa nchi za kijamaa wenye mrengo wa kimagharibi walibebesha lawama...
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Hii habari inapatikana kwenye gazeti la Mwananchi Pg 4 "Chadema tutampinga Kafumu mahakamani" Waliopiga kura uchaguzi mkuu 2010: 49,013 sawa na 28.6% ya 171,077 ya waliojiandikisha...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
I have a dream, I have a dream; that Dr W. P. Slaa is the URT president and Zitto Kabwe the Prime Minister in 2015! The late Martin Luther Jr used these statements in the US in 1960s; they were...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
*Mwenyekiti Tabora ataja kundi la wasaliti *Asema walitaka ishindwe uchaguzi 'waheshimiane' Na Moses Mabula, Tabora SIKU tatu baada ya CCM kushinda uchaguzi wa Jimbo la Igunga, Mwenyekiti wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimetokea Manyoni nakutana na msafara wa CCM Ma land cruiser manne na katikati Gari kenye bendera ya CUF Likiongozwa na hardtop ya CCM ikiwa na matangazo ya ushindi kwa CCM Igunga , huku wakiwa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwenye gazeti la Rai Mwema kuna taarifa kwamba Mbowe na Slaa walipata matokeo ya kushindwa kwenye uchaguzi wa Igunga saa tano usiku wa Tarehe 2/10/2011. Ninachojiuliza ni kwa nini si yeye wala...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sasa hii inanipasua kichwa mpaka nachanganyikiwa kila ninapotafakari. Miezi kadhaa kabla ya Rostam kuachia siasa uchwara, tuliambiwa kuwa, wana-Igunga jamaa aliwakatia bima ya afya ili wasipate...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nataka kufahamu kuhusu likizo ya bila malipo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliekuwa diwani Wa Chadema kata ya Kimandolu ms naibu Meya Estomi Malla amesema kuwa Chadema iache kuwadanganya wakazi wa jiji la Arusha kwamba watafanikiwa kumwondoa Meya wa jiji la Arusha bwana...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…