CHADEMA acheni kuwadanganya wana wa Arusha - Estomi Malla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA acheni kuwadanganya wana wa Arusha - Estomi Malla

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ciril, Oct 6, 2011.

 1. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Aliekuwa diwani Wa Chadema kata ya Kimandolu ms naibu Meya Estomi Malla amesema kuwa Chadema iache kuwadanganya wakazi wa jiji la Arusha kwamba watafanikiwa kumwondoa Meya wa jiji la Arusha bwana Gaudensi Limo.
  Souce:Mtanzania/Habari Leo/Uhuru.

  Ni nini anachopima huyu msaliti Wa Chama?,ni nani anaemtuma kusema maneno haya?Kama alishaondolewa kwenye Chama kwa nini aendelee kuwa naibu Meya?Au ndio Tanzania ilivyo?
   
 2. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Huyu Jamaa inamaana bado anaendelea kutafuna kodi zetu kwenye nafasi ya unaibu Meya!?
   
 3. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hizo ni kelele za mfa maji. Angalia hata magazeti yaliyomnukuu!
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  kwani umeya au unaibu meya unapewaje? nijuavyo mimi ni lazima uwe mwanachama wa chama fulani cha siasa. Sasa huyu anaeongea yeye mwanachama wa chama kipi?????
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  msaliti huyo ipo siku tutakuja sikia amekwishajitundika...
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  hana haya hta kidogo!nyambafu
   
 7. A

  AlamaZA NYAKATI JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye ndo aliyedanganywa na magamba, na kwa jinsi alivyo na upeo mdogo nadhani mpaka leo hajagundua kama magamba ndo yaliomkaanga mpaka kuukosa unaibu meya na udiwani....wajinga ndo waliwao
   
 8. kanywaino

  kanywaino Senior Member

  #8
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  dawa yake ipo jikononi,hivi wana arusha wako wapi kumpiga na kumtemea makohozi huyu msaliti?kama mwenzake rasta..wanakula tu hela za lowasssa ha ha ha ha atajuta
   
 9. Pelekaroho

  Pelekaroho JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,502
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Du, Malla tena? anaweweseka tu, alisahau kuwa mtaka yote kwa pupa hukosa yote kwa pupa.
   
 10. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Umeshaenda NCCRMAGEUZI?
   
 11. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hayo ni kweli kabisa chadema hawawezi kumtoa huyu meya wa arusha kwani alichaguliwa kihalali kabisa. Na ndio maana mpaka leo cdm wakiambiwa km mnapinga uchaguzi wake nendeni mahakamani hawaendi, kwani wanajua wataenda kuumbuliwa
   
 12. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mahakama za Tanzania hazitoi haki sawa,fisadi akimwaga pesa ataonekana Kama malaika na masikini hana chake juu ya tajiri vivyo hivyo Kama Serikali ikiingilia kati juu ya uhalali Wa Meya Wa Arusha haitashindwa kbs sana itatoa maagizo tu na yatatekelezwa.
   
 13. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kama ameondoka naibu wake (yeye) mwenzie yuko njiani kuondolewa
   
 14. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF na Nyie wakazi wa Arusha esp Kimandolu,

  Kama kweli huyo malla ameanza siasa za maji taka aseme!!!!
  Kwani nina yangu machache kwa kumbu kumbu zangu.

  1: Wananchi nadhani sio kuwa wamekataaa kuwa habari za muafaka zilikuwa haziwafikii viongozi wakubwa both side CCM na CDM

  2: Tatizo lako Malla ni kuwa Hamkufikaia mwisho wa muafaka na mkatangaza nyie huko viongozi wa chini Je mlikuwa nyie ndio viongozi wa juuu wa CDM? Mbona wana CCM mliokaaa nao kwenye Muafaka hawakukurupuka na kusema hivyo nyie wakina Malla ndio mlikuwa viongozi wa kwanza kukimbilia kweny vyombo vya habali kumbu viongozi waliko juu yako ni wakubwa tuu tafuta jinsi nyingine ya kuwa dhibiti na sio tu kukimbilia kwenye vyombo vya habari na ndio mchezo wenu sana nyie wana siasa wa Arusha.

  3:Malla wajua hilo swala la udiwani ni bora ukakaaa kimya ndugu yangu kwani tukirudi nyuma kwa takwimu zetu kile kikao cha kwanza mlipo itwa dar na kamati kuu ya CDM wenzio walikwenda wewe uka heba kwa kisingizio kuwa Unaumwa na ukatuma taarifa hiyo mapema huko makao makuu ya CDM i mean kwenye kamati kuu sasas leo waanza sema CDM wasiwadanganye watu kivipi?

  4: Sasa kwa swala la Gaudensi Limo nadhani ni swala la kuangalia kisheria Malla atuambie kama kweli Uchaguzi ulikuwa ni halali kumpitisha Limo kuwa Mayor Je yeye malla alikuwepo siku hiyo wakimpigia kura G.Limo kuwa Mayor wa Arusha? akijibu hilo tu basi tutajua nani anawadanganya wananchi au kuna mtu ameanza siasa za maji taka
   
 15. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Hebu wewe sema ukweli wako!!!

  Wajua uchaguzi halali wewe au unaongelea ushabiki humu?

  Siku walipo mchagua G.Limo kuwa Mayor wa hilo Jiji la Arusha niambia hicho kikao CDM waliitwa au walipewa barua fake za kukutana huko Olasite na wao CCM wakaendeleza kikao chao cha kumchagua Mayor huku diwani wa TLP nae alishiriki kwenye hicho kikao na baadae akaukataa Unaibu Mayor yet unatuambia Uchaguzi wa Mayor Arusha ulikuwa Haklali kivipi???

  Hebu nawe tupe yako uliyoshiliki siku hiyo ya kumchagua Mayor nasi tuku chambue kama unakumbuka kilicho tokea sisi tuliona matukio yalivyo recodiwa kwenye Runinga na tukashangaa kwanini kulikuwa na vikao viwili tofauti siku hiyo ya uchaguzi wa mayor na ndipo hapo CDM walipo pata fununu wakaenda Halmashauri na kukatokea mshike mshike na mabomu ya machozi kurushwa sasa ulikuwa ni uchaguzi gani halali siku hiyo kama madiwani wengine hawakuitwa kupiga kura??
   
 16. M

  Mary Chuwa Senior Member

  #16
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Malla akiongea,akinyamaza hana anachoongeza au kupunguza kwa CDM sana sana anajifedhehesha tu.
  Wana Arusha na CDM kwa ujumla tunamfahamu ni sawa na kumfungia mbwa nyama shingoni apeleke nyumbani.
   
 17. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mkuu umetumia sana nguvu nyingi kumuelewesha huyu(GeniusBrain)ni mbishi na ametumwa kuja kuchafua huku jamiiforum,ukimuonesha gari atabisha na kusema hii treni na ogopa sn mtu anaekikataa hata kimvuli chake
   
 18. Imany John

  Imany John Verified User

  #18
  Oct 6, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Nipe email yako niku2mie jins uchaguz ulivyofanyka
   
 19. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhhhhhh
  kuna kazi kwelikweli
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Oct 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Mara yangu ya mwisho kusoma magazeti ya ccm nadhani wakati wa utawala wa mwinyi
   
Loading...