Ahadi za CCM Igunga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahadi za CCM Igunga!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by LordJustice1, Oct 4, 2011.

 1. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Nilimsikia Dr John Pombe Magufuli akiapa kwa jina la Mungu kwamba atajenga Daraja kule Igunga! Je, ni ahadi gani nyingine walizoahidiwa wana Igunga na Magamba ili zikishindwa kutekelezwa CCM (Magamba) kama ilivyo kawaida yao ipewe adhabu ya kufa mtu 2015 ipate kura kama walizopata CUF kwenye uchaguzi mdogo?
   
 2. Olengambunyi

  Olengambunyi Member

  #2
  Oct 6, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  but hawa wa2 2mewachoka ahadi zao milele ni za uongo. Wavue hadi magamba ya moyo bado ni waongo 2.
   
 3. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tunashukuru sana kwa ahadi zao na ni chachu kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja hapa Igunga
  Magamba Oyeeeeeeeeeeee! "fake it until you get it"
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  • Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa
  • Bandari ya nchi kavu kubwa katika Afrika.
  • Chuo Kikuu Kipya Kikubwa katika Tanzania: Rostam Aziz University.
  • Flyovers kupunguza msongomano wa magari yatakayotumia Bandari, Kiwanja cha ndege na RAU.
  • Maji Kila chumba, nyumba zote za Igunga.
  • Mfumo wa kuzoa maji taka na kuzisindika kuzifanya Mbolea.
  • Mvua za uhakika misimu mitatu kwa mwaka.
  • Kiwanda Cha simenti kitachouza mfuko TZS 500 au chini ya hapo.
  • Tutahakikisha tunapeleka branch ya Discotheque maarufu ya Dar.
  • Bahari, tuatachimba mfereji (canal) kutokea pwani mpaka Igunga.
  • Kilimo Cha Kisasa cha kutumia mbolea ya maji taka.
  • Makao Makuu Ya CCM ya Mkoa Ghorofa 50
  • Shopping Mall mbili, moja Mashariki ya Igunga Moja Mgharibi
  • Barabara za lami la za kisasa kama za Karatu.
  • Hoteli za Kitalii
  • Tutajenga na Mlima Kilimanjaro mpya uwe kivutio cha watalii.
  Itaendelea....
   
 5. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  "Show forgiveness, speak for justice and avoid the ignorant." (Qur'an 7:199)
  ..............??????
   
Loading...