Mufti Simba una hoja ya kuwajibu Watanzania

JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
CCM wakakimbilia kwenye madhehebu ya dini ila kujali kuihatarisha amani ya nchi na kuomba wasaidiwe kuilaani chadema....

Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC fatma kimario (mkristo safi) kwani ameolewa na mkristo. alivaa ushungi wala si hijabu. hata mimi hua na vaa kanzu lakini si muislam.

Halafu yakaibuka makundi mengine ndani ya uislam ikiwemo BAKWATA WOTE KWA PAMOJA WAKASEMA WAISLAMU WASIPIGIE KURA CHADEMA IGUNGA IMEDHALILISHA UISLAM. JE HUU MSIMAMO NI WAISLAM WOTE AU NI WALE WAFUASI WA CCM PEKEE.
Tunasubiri kusikia mufti simba atuambie kama huu ulikuwa msimamo wa waislamu.

WAISLAMU mimi mbona nimechanganyikiwa? Mara tuambiwe kuwa CHADEMA hawawapendi Waislamu! Halafu hapo hapo Katibu wa CCM tena anaitwa WILLSON Mkama anasema CHADEMA imeleta makomandoo 'magaidi' toka nchi za Kiislamu, Afghanstan, Pakistan na Libya Palestina! Du!

Siwezi kugombana na rafiki zangu Waislamu kwa sababu za wachumia tumbo wachache wanaoutumia Uislamu kama daraja la dharura! Tena hao CCM wanajifanya kutetea suala la mkuu wa Wilaya wengi wao ni Wakristo! kweli wanawaonea huruma Waislam au njaa zinawasumbua?

Cha kustaajabisha huyo DC sio muislamu safi kwani ameolewa na mkristo na wanatarajia kufunga ndoa kanisani na watoto wanao. Pia hakuvaa hijabu ni mtandio tu.

Kuruani inasema mwanamke wakiislam ni yule aliyeolewa na muislam na anafuata maadili ya kislam. Ndugu zangu waislamu kwanini mnakubali kueendeshwa kama gari bovu, au na nyie mmepoteza dira kama chama fulani.
 
mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,622
1,089
Inaonekana kwa huyo mufti ccm na uislamu ni vitu visivyoweza kutenganishwa. Ukiipinga ccm then umeupinga uislamu na kinyume chake. Lakini waislamu wengi wana msimamo tofauti na huyo mufti.
Tutafika tu maana Mungu ni mkubwa
 
Arafat

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
2,582
755
Achana na huyo Mzee alilogwa na Yahaya Hussein wakati anagombea U-Mufti hapo alipo hayupo sawa.

Kwani Masister na Mapadri wa Kikatoliki hawavai kanzu na Hijjab? Swala la Kanzu na Hijjab halina uhusiano wa moja kwa moja Dini ya Kiislam, ni wale wasioelewa nini maana ya mafundisho ya Hijjab ndio mara zote ubadili Hijjab kuwa suna takatifu ili hali hao wanaozivaa kwa ajili ya kuficha nyuso nzao wakati wa kufanya dhambi hawasemwi.
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,524
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.

Waislamu mapunguani ndio walisapoti na watasapoti,upuuzi huu...for your information CDM ilipata kura nyingi tu za waislamu wenye akili kule Igunga....
 
JOHN MADIBA

JF-Expert Member
Jan 30, 2011
251
155
WAISLAMU mimi mbona nimechanganyikiwa? Mara tuambiwe kuwa CHADEMA hawawapendi Waislamu! Halafu hapo hapo Katibu wa CCM tena anaitwa WILLSON Mkama anasema CHADEMA imeleta makomandoo 'magaidi' toka nchi za Kiislamu, Afghanstan, Pakistan na Libya Palestina! Du!

Siwezi kugombana na rafiki zangu Waislamu kwa sababu za wachumia tumbo wachache wanaoutumia Uislamu kama daraja la dharura! Tena hao CCM wanajifanya kutetea suala la mkuu wa Wilaya wengi wao ni Wakristo! kweli wanawaonea huruma Waislam au njaa zinawasumbua?

Cha kustaajabisha huyo DC sio muislamu safi kwani ameolewa na mkristo na wanatarajia kufunga ndoa kanisani na watoto wanao. Pia hakuvaa hijabu ni mtandio tu.

Kuruani inasema mwanamke wakiislam ni yule aliyeolewa na muislam na anafuata maadili ya kislam. Ndugu zangu waislamu kwanini mnakubali kueendeshwa kama gari bovu, au na nyie mmepoteza dira kama chama fulani. Bakwata imepoteza dira nini siasa na imani????
 
KIDESELA

Senior Member
Sep 26, 2011
149
91
Hyo bakwata ndio ccm c lakini hawakilishi sauti ya waislam,kama mufti simba ni sauti ya waislam kwanini hatukushirikishwa kumchagua? Kachaguliwa na masheikh wa bakwata na serikali ya ccm,mimi muislam lakini nipo kinyume na bakwata yapata miaka 10 leo kwa hyo ccm na bakwata ndio wamoja sio waislam na bakwata,
 
dibbo

Member
Feb 18, 2011
30
1
NI MSIMAMO WA WAISLAM WOTE KWANI SASA NINI????......
Tulimwona na kumsikia mufti bin simba akiwaonya CHADEMA kuhusu tukio la DC fatma kimario (mkristo safi) kwani ameolewa na mkristo. alivaa ushungi wala si hijabu. hata mimi hua na vaa kanzu lakini si muislam. halafu yakaibuka makundi mengine ndani ya uislam ikiwemo BAKWATA WOTE KWA PAMOJA WAKASEMA WAISLAMU WASIPIGIE KURA CHADEMA IGUNGA IMEDHALILISHA UISLAM. JE HUU MSIMAMO NI WAISLAM WOTE AU NI WALE WAFUASI WA CCM PEKEE.
Tunasubiri kusikia mufti simba atuambie kama huu ulikuwa msimamo wa waislamu. [/B][/QUOTE]
 
Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,576
1,090
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.

Acha kufuru wewe, Kiongozi wa waislam ni Mtume Muhammad (SAW). Mufti si kiongozi wa Waislam ni KIONGOZI WA BAKWATA, JUMUIYA YA CCM. WE JIDANGANYE TU, CHADEMA SI CUF, Chuki zote dhidi ya CDM ni dhana kuwa imechukua nafasi ya CUF, Chama kilichokuwa na wapenzi wengi waliokuwa na imani ya kiislam. Hakuna propaganda itakayoweza kuimaliza CDM, au Chama chenye kuonekana mbadala kwa CCM. People are hungry for change whether wawe ni waislam au wa dini nje na uislam.
 
Al Adawi

Member
Feb 25, 2011
91
36
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.
Swadaktaaaa... na Kikwete Mkuu wa nchi ni mwislaam swaafi mwenzetu, na uamuzi wa serikali yake anayoiongoza juu ya Mahakama ya Kadhi ni sahihi kabisa,.!!!
 
124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,768
5,373
Lets see now that the byelection is over ,who is going to whistle about the DC.Fatma!
 
Nish

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
730
111
Waislamu mapunguani ndio walisapoti na watasapoti,upuuzi huu...for your information CDM ilipata kura nyingi tu za waislamu wenye akili kule Igunga....
punguani ni wewe na familia yako huwezi kujumuisha waislamu wote bloodyfoooool!!!!!!
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,579
25,246
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.

akitoa tafsiri korani yasema nguruwe afaa kwa kitoweo mtasema amina au astakafyululahi! astakafyululahi!!
 
Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,127
Kwanza kamwite Askofu wenu Laizer na Askofu mkuu wa katoliki watueleze kwanini walikuwa wanatuambia tuwachague Chadema mwaka jana?

Acha kutuletea hoja za kimasaburi hapa. Nchi nzima imepoteza dira. Huyo DC ni muislamu as long as akiwa hajabadili dini yake kwa kuritadi (kutamka amejitoa katika uislamu). Hivyo basi inamlazimu avae hijabu au mtandio kusitiri nywele zake.

Kaulize wajuzi wote wa dini watakuambia. Ama kuhusu kuolewa na mkristo hilo swala jengine ila kiislamu hapo hakuna ndoa bali wanazini ila yule mwanamke ataendelea kuwa muislamu kama kawa!

Acheni udini wenu nyie watu mnaipeleka nchi pabaya na ubaguzi wenu wa kijinga. Tuliachie jambo lijadiliwe mahakamani kwanza ndio tuseme lolote.
 
Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,334
Ni msimamo wa waislamu wote, wewe unasema aje? Mufti ni kiongozi wetu akisema wote tunaunga mkono.

Sio Msimamo wa Waislam wote labda wewe na wapenda pilau la Magamba, Mimi kwanza siitambui Bakwata nikiwa kama Musilam.

Bakwata inaendeshwa kama vile ni Tawi dogo la Magamba. Kwa hiyo sinaimani nao hao Mashekhe Pilau wanaoweka Njaa zao mbele kuliko Dini.

I never trust Bakwata and i will never Trust Bakwata. Tunataka Baraza letu la Balukta lirudishwe lile ndio liliokuwa linapigania Haki za waislam sio hili Tawi la Magamba Bakwata my us NOT Asssssssssssss
.

Hao wakina Muft Simba wakishwa lishwa Pilau na CCM wanasahau mpaka dini, wanalishwa na kuja kuropoka na kutudharaulisha waislam wote nchi kwa Njaa zao
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom