Nyerere Day na vituko TBC 1......................

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Asubuhi kwenye Jamabo tz naangalia mara mabinti wawili wanaojiita wanafuata nyayo za mzee wa Taifa hili wanatangaza mdahalo utakaofanyika
chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere pale kigamboni ikawa hivi kwa yule mmoja
marine Hasan:Kwa hiyo unafuata nayayo za mwl.....
Binti:Eh unajua sisi ndio haswa tunafuata nyayo na maneno mengi ya kujifagi.........
Marine:Kwani mwalimu alikufa akiwa na miaka mingapi ?
Binti :miaka themannini na kitu hivi.......
Marine :kumbe hata ujui sasa unafuataje kitu ambacho hata ukiukizwa hujui?
Binti :kimnya.....

Sasa mtu unaenda kubwabwaja tu hujui hata unaweza ulizwa ukaleta fedheha...............
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha!! Mkuu I wish if I could be able to watch this,very interesting.....
 
Mi nilipo tune nilipo wasikia nikavuta shuka nakuendelea kupiga usingizi nikaamka 1:30 kipindi cha michezo na magazeti. Ilipofika saa 2 wakamuweka mzee Kingunge nikatune Trace Tv nikaendelea kula muziki. Hakuna cha maana very boring.
 
Duh ndiyo vijana wetu hao wana enzi baba wa taifa kama chorus ya wimbo hata hawajui misingi ya Mwl Nyerere, hao wote utakuta wamezaliwa late 80s au early 90s. Mwl amefariki wako std V au VI
 
Kuna dogo toka Makongo huyo ni SPEAKER OF THE DAY DOGO KAFUNGUKA WATU WAZIMA KIMYA
 
Vyuo vingine haviangalii viwango vya wanafunzi wanaowadahili....hiki nachoni ni doubtful in terms of quality ya wanafunzi wake..!
 
Back
Top Bottom