Orodha ya CUF ya Viti Maalum vya Ubunge

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Dec 7, 2006
540
250
NEC inasema CUF wameshindwa kuwakilisha majina ya VITI MAALUM sio kwamba walikuwa wakisubiri upepo ili nao wafanye uozo wa kupeana na zamu hii wameambulia namba za viatu vya watoto. Ili haki SAWA itendeke walitakiwa kufanya uteuzi na kuwakilisha kama walivyofanya wenzao wa CCM na CHADEMA ikiwa mtu wa kwanza kwenye orodha anakuwa wa kwanza hadi orodha yako itakapopigiwa msitari. Hawa CUF UCHAKACHUAJI wa Majina huko wazi kwani wanaandaa orodha mpya!!!!!
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,531
2,000
CUF ndo nini?si wameshajumlisha nafasi zao kwenye yale ya CCM..maana nasikia ni tawi la CCM ....
 

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,277
2,000
Kuna mwanamama walimpa ubunge 2005 - 2010, ile siku ya kuvunja bunge akahamia CCM; hii iliwauma sana kwani kulikuwa na makubaliano kila mbunge akichangie chama TShs. 10 million. Inawezekana wakaamua mtu akichangie kwanza chama ndipo apewe hiyo nafasi
 

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Dec 7, 2006
540
250
Wana JF pole na majeraha ya UCHAKACHUAJI, CUF wameshindwa KUCHAKACHUANA au tayari? Ninachoshindwa kujua ni kwa nini NEC iliwaruhusu kuchagua VITI MAALUM baada ya kujua idadi na matokeo ya uchaguzi na msimamo wa kura za chama kwangu mimi Demokrasia hapo imechachakuliwa. Naomba kuona hao waliochaguliwa wana mvuto gani?
 

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
0
wana jf pole na majeraha ya uchakachuaji, cuf wameshindwa kuchakachuana au tayari? Ninachoshindwa kujua ni kwa nini nec iliwaruhusu kuchagua viti maalum baada ya kujua idadi na matokeo ya uchaguzi na msimamo wa kura za chama kwangu mimi demokrasia hapo imechachakuliwa. Naomba kuona hao waliochaguliwa wana mvuto gani?


waulize sisiem watakuambia maana cuf ni wake wadogo wa sisiem
 

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Dec 7, 2006
540
250
Source:- Nipashe
1. Amina Mohamed Mwidaa - TANGA
2. Riziki Omar Juma - PEMBA
3. Kuruthumu Jumanne Mchuchuli - RIFIJI
4. Thuwayba Idris Muhamed - UNGUJA - Zanzibar
5. Mkiwa Adam Kiwanga - MWANZA
6. Rukia Kassim Ahmed - CHAKE CHAKE - PEMBA
7. Moza Abed Saidy - KONDOA - DODOMA
8. CLARA DIANA MWOTUKA - MASASI - MTWARA

Nawachia mjimwage maana kuna maneno mengi yamesemwa kwa wateule wa CHADEMA na CCM.
 

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,219
2,000
Averos kama ulikuwapo duniani mipango ya send off ilifanywa butiama na mshenga alikuwa makamba duni alipokea posa na mchumba ndo huyo juzi umeweka bayana pole mpwa
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,949
2,000
Source:- Nipashe
1. Amina Mohamed Mwidaa - TANGA
2. Riziki Omar Juma - PEMBA
3. Kuruthumu Jumanne Mchuchuli - RIFIJI
4. Thuwayba Idris Muhamed - UNGUJA - Zanzibar
5. Mkiwa Adam Kiwanga - MWANZA
6. Rukia Kassim Ahmed - CHAKE CHAKE - PEMBA
7. Moza Abed Saidy - KONDOA - DODOMA
8. CLARA DIANA MWOTUKA - MASASI - MTWARA

Nawachia mjimwage maana kuna maneno mengi yamesemwa kwa wateule wa CHADEMA na CCM.

Hiyo Red unamaanisha nini? Udini au? Me am out!!
 

nickname

JF-Expert Member
Dec 20, 2009
524
225
Source:- Nipashe
1. Amina Mohamed Mwidaa - TANGA
2. Riziki Omar Juma - PEMBA
3. Kuruthumu Jumanne Mchuchuli - RIFIJI
4. Thuwayba Idris Muhamed - UNGUJA - Zanzibar
5. Mkiwa Adam Kiwanga - MWANZA
6. Rukia Kassim Ahmed - CHAKE CHAKE - PEMBA
7. Moza Abed Saidy - KONDOA - DODOMA
8. CLARA DIANA MWOTUKA - MASASI - MTWARA

Nawachia mjimwage maana kuna maneno mengi yamesemwa kwa wateule wa CHADEMA na CCM.

CUF ni chama cha KIDINI YA KIISLAM ,ANGALIA MWENYEWE KATIKA MAJINA HAYA SABA NI WAISLAM NA MMOJA NI MKRISTU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom