DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Oct 14, 2011 #1 Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wengine. Hebu tutaje hao waliongezeka.
Baba wa taifa aliacha maadui wakuu watatu, ujinga, mardhi na umasikini. Lakini sasa badala ya kupungua, wameongezeka wengine. Hebu tutaje hao waliongezeka.
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Oct 14, 2011 Thread starter #2 Ufisadi
Gurta JF-Expert Member Joined Sep 17, 2010 Posts 2,233 Reaction score 537 Oct 14, 2011 #3 Udini, upofu wa fikra, ulegelege
only83 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 5,342 Reaction score 2,528 Oct 14, 2011 #4 ....Upumbavu maana hii ni tofauti na ujinga,uzembe,masihara,kukosa umakini,visasi,umafia(kulishana sumu) nk
....Upumbavu maana hii ni tofauti na ujinga,uzembe,masihara,kukosa umakini,visasi,umafia(kulishana sumu) nk
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 512 Oct 14, 2011 #5 Mapacha wa3!
Dume la Mende JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 423 Reaction score 66 Oct 14, 2011 #6 Chadema na tindikali
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Oct 14, 2011 Thread starter #7 Adui mwingine ni CCM
M mharakati JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 1,271 Reaction score 392 Oct 14, 2011 #8 EL,JK,Wahindi wenye hela, usalama wa taifa, ubepari uchwara unaosababisha viongozi wawe wabinafsi kupindukia hawa ndiyo maadui wakubwa waliongezeka toka Mwalimu atutoke
EL,JK,Wahindi wenye hela, usalama wa taifa, ubepari uchwara unaosababisha viongozi wawe wabinafsi kupindukia hawa ndiyo maadui wakubwa waliongezeka toka Mwalimu atutoke
Egwugu JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 17,558 Reaction score 8,556 Oct 14, 2011 #9 Adui mwingine ni... UBAKWACHA
T tusichoke JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 1,316 Reaction score 217 Oct 14, 2011 #10 Adui mwingine ni undugulization katika uongozi wa nchi,wezi wa mchana wa madini na wanyama wetu wakishirikiana na viongozi wetu,viongozi kuua wenzao
Adui mwingine ni undugulization katika uongozi wa nchi,wezi wa mchana wa madini na wanyama wetu wakishirikiana na viongozi wetu,viongozi kuua wenzao