Mwalimu nyerere angalikuwa hai leo angeipigia kampeni chadema ishike uongozi wa tanzania

potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
461
405
CCM imeshindwa tuipe nafasi CHADEMA. Nashawishika kuamini kuwa kama Mwalimu angalikuwa hai leo angekipa kisogo chama hiki, CCM , alichokiasisi mwenyewe. Sababu ni moja tu. Kimekosa mwelekeo kisiasa na kiuchumi. Maadili ya Uongozi ni mambo ya kwenye makaratasi tu kwa enzi hizi, si kwa vitendo kama enzi za Mwalimu.

CCM haina DIRA. Swali moja tungewauliza ni wapi wanataka kutufikisha ndani ya miaka kumi ijayo na ninin mikakati ya kufikia huko, tukiwailiza swali hili, hakika jibu watakalotupa ni siasa zilizojaa porojo.
Watanzania wa sasa wataka maendeleo sio porojo za CCM.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom