Mwalimu Nyerere anaenziwa kwa kuuana kwa sumu....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu Nyerere anaenziwa kwa kuuana kwa sumu....!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zacha, Oct 14, 2011.

 1. zacha

  zacha JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 60
  Mwalimu Nyerere anaenziwa kwa kuuana kwa sumu, Mafisadi papa wanaongoza serikali kama kampuni, Mtoto wa rais kumiliki vituo vya mafuta (big Bon - sinza) na kuna nyingine itajengwa pale gereji (Mandela road) Chama chenyewe kimegawanyika makundi makundi nilitarajia kuona maandamano leo ya chama hicho kama ishara ya kumuenzi mwalimu ambayo yangesisitiza umoja na mshikamo ndani ya chama chao, kukemea maovu yanayofanywa na viongozi wao n.k!

  Kwa serikali makini yenye kiongozi makini, tarehe kama hii ilikuwa ni kufukuzisha kazi wale mawaziri wezi kama huyo wa fedha, kutaifisha mali za mafisadi…. Kuwatetea wanyonge hata kwa hotuba moja kali yenye ufariji ndani yake juu ya umasikini walio nao, matatizo wanayo kabiliana nayo kama mfumuko wa bei, mgao wa umeme.. Ada za shule na vyuo kupanda. Najua huwezi kufanya wala kusema haya yote basi igiza japo kidogo tu anagalau hata kwa mwezi mmoja tu, kuonyesha tunamuenzi mwl kiukweli ukweli
  Idara ya UWT nao siku hizi cjui vipi, enzi za mwl kweli kontena la twiga 100 linapelekwa ulayabila hata kujua au kuvumbua uovu huo….? Kila kitu kimehalibiwa na hii kitu pesa…!
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,324
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  Wao kwa wao wanauana kwa sumu, Chadema wanauliwa na kutupwa kwenye mapori. Kweli nashindwa kuelewa ni wapi ccm inaelekea.
   
 3. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  unanipa huruma, naihurumia tz yangu masikini
   
 4. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanakumbuka kifo cha Nyerere kwa kupiga muziki kwenye kuzima mwenge! Bora kila mwaka wangekuwa wanaprint copy nyingi za hotuba za mwalimu pia wangekuwa wanzalisha copy nyingi za video za hotuba zake na kugawia watanzania.
   
 5. P

  Percival Salama Senior Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Watu safi wanaweza kupirint hizo kopy za hotuba za Mwalimu, lakini watu wenye mioyo ya kifisadi na udini na ukabila na vibaraka wa mabeberu hawataweza kamwe. Ikitokea wakati wa uhai wangu nakufa makusudi!! Uyasemayo yatawezekana tutakapo pata viongozi watanzania wenye kuumwa na wizi wa raslimali za watanzania. 2015 futanye maamuzi sahihi. asiyewajibika kwa ajili ya nchi yake sasa, iwe ni chama au mtu binafsi asipate nafasi ya kuongoza nchi hii asilani. Mustakabali wa nchi hii upo mikononi mwa kila mtanzania safi.
   
 6. m

  mharakati JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Mwalimu inasemekana aliwekewa sumu kwenye kabustani kake ili afe haraka ili mustakabali wa nchi uwe kwa wenye hela, mabepari na vibaraka wao wa kisiasa akina Mkapa, EL, RA, wawekezaji uchwara, na mafisadi papa wengine.
   
Loading...