Nani kasema wazee akina butiku, warioba, kingunge wanaipenda ccm? Kingunge live tbc1

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
254
35
Asante sana Mungu wetu umesikia kilio cha watz, wakati leo tukiadhimisha kumbukumbu ya mwl. Nyerere na tukiendelea na maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wazee mbalimbali wamejitokeza hadharani na kuonyesha dhahili kwamba sasa CCM ilipofikia basi ni zigo lisilobebeka. Kumbuka maneno ya warioba, butiku na sasa msikilize Kingunge TBC1 live, utakiri kwamba hawa wazee wamenyosha mikono. Kingunge anasema huwezi kuendelea kuwa na sera za miaka ya 45 hlf utegemee kuungwa mkono na watu waliozaliwa miaka ya 60-90's.
 

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Huyo mzee ana jipya fisadi tu, vipi ule uchunguzi wa ubungo bus terminal uliishaje?
 

HISIA KALI

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
694
108
anachokiamini sio anachosema. Anaona aibu kusema anachokiamini kwani wananchi wengi hatamsikiliza na kama watamsikiliza basi wataishia kumsomea tu na baadaye kumpuuza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom