Rostam hakuwa anawajali wana Igunga

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,596
1,808
Katika gazeti lka leo la Tanzania Daima... Kuna habari inayosema Sabodo kuibeba CHADEMA.....
Ukurasa wa pili kwenye hii habari paragraph ya mwisho inasema........
SABODO NAYE ALISEMA ALIWAHI KUMWITA ALIYEKUWA MBUNGE WA MBUNGE WA IGUNGA, ROSTAM AZIZ, MARA KADHAA NA KUMWELEZA NIA YAKE YA KUTAKA KUSAIDIA KUCHIMBA VISIMA, LAKINI HAKUTOKEA.............

MY TAKE:
Bila shaka uchaguzi wa Igunga umeibua mengi ambayo hatukugemea likiwemo tatizo sugu la maji.
Na hapa tunaona mheshimiwa Rostamu alishawahi kitiwa msaada wa bure lakini alikaidi wito.
Huyu jamaa alikuwa na nia gani dhidi ya wanachi wa jimbo lake??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom