Mdahalo chuo cha kumb ya mwl nyerere 14/10/2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo chuo cha kumb ya mwl nyerere 14/10/2011

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mashikolomageni, Oct 13, 2011.

 1. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wana JF salam, Katika kuadhimisha kumbukumbu ya kifo ha Baba wa Taifa Mwl Nyerere, kutakuwa na mdahalo kesho tarehe 14/10/2011 kuanzia saa (9:00am) 3:00 asubuhi kwenye ukumbu wa Utamaduni, mada itakuwa; "UONGOZI WETU NA MSTAKABALI WA TANZANIA, NAFASI YA VIJANA KATIKA MAENDELEO YA TAIFA." Mchokoza mada atakuwa Dr. Azaveli Lweitama mhadhiri mwandamizi kitivo cha Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, watakaopata nafasi mnakaribishwa
  [h=6][/h]
   
 2. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tunashkru kwa kutukumbushia!!! keep it up, but tuombe mdahalo huo uwe na changamoto za ukweli, na kwa wale ambao mnaishi huko Tanzania ilipokalia ni mda wenu wa kwenda kuwapa changamoto nzito akina Dk Lweitama ili hata wakifa wawe wameacha copy zao!
   
 3. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  amekuwa akizungumzia tatizo linalo tukabili kwa sasa la uzalendo kwani, umeshuka sana na anasema ujamaa sasa unakuwa kwani ameoa mifano ya Mifuko ya hifadhi za jamii ambayo mtaji wake unatkana na michango ya watu wengi, kuanguka kwa makampuni makubwa na kupewa stimulus package ni mtindo huo huo wa kupewa mtaji na serikali kutokana na kodi ya watu wote
   
 4. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  msingi wa uzalendo ni kuwa kial kundi katika jamii kuona kuwa linafaidika na mfumo uliopo , ikitokea kundi moja halinufaiki basi uzalendo unakuwa mashakani. Tatizo siyo kuwepo mabepari lakini tatizo ni kuruhusu mabepari hao kuishika dola
   
 5. k

  kajunju JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  safi sana.waliopo mtujuze kinachoendelea.huku umeme ni nomii
   
 6. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  msingi wa uzalendo ni kuwa kial kundi katika jamii kuona kuwa linafaidika na mfumo uliopo , ikitokea kundi moja halinufaiki basi uzalendo unakuwa mashakani. Tatizo siyo kuwepo mabepari lakini tatizo ni kuruhusu mabepari hao kuishika dola Dr Azaveli anasema vijana tujiangalie tunaweza kupoteza uhuru wa miaka ya sitini au tupate uhuru wa miaka ya hii tujikomboe kwa kufanya mshikamano kati yetu watanzania na hili ni kwa kupunguza gap kati ya wlionacho na wasionacho
   
Loading...