Kuna mtu ameniambia kuwa imeripotiwa kuwa mhe john pombe magufuli kuwa nae ni mgonjwa hili lina ukweli ndani yake?tafadhali mwenye information anijuze wakuu
Tunalalamika? Tunapinga? Tunahoji? Tunakataa?
Watanzania wanapojadili mapungufu ya nchi(national deficiencies), na kuyarudia na kuyarudia, tunaambiwa eti "tunalalamika tu bila kutoa suluhu ya...
Imenibidi nilete changamoto hii kwa jukwaa la jamii forum ili ifanyiwe kazi haraka iwezekanavyo maana sisi kama watanzania tunaweza tukawa tumeingizwa mkenge uleule kama yalivyotokea mambo ya...
No doubt when you utter the most famous legends and heroes in African leaders of the past,the later Julius Nyerere is among them.Most of these Africans were and are recognised and embraced because...
Ndugu zangu naomba tutafakari kidogo na hii hadithi ya EL kuendelea kuwepo katika midomo na mawazo ya watu katika kuwania urais 2015, hii ikiwa pamoja na kashfa zote na hii sera ya kujivua gamba...
Jamani nimebaki najiuliza.
Kwa mtu anayependa sana urais wa nji yetu hii ni muhimu kwenda kuhiji Butiama na ingalau kunena neno na Mama Maria.
Kada maarufu wa chama tawala Mzee Lowassa sijawahi...
MCH. MTIKILA AMEMTUHUMU BI FLORA NA WENZAKE WANAOFANYA KAZI UNHCR KUWA WANATUMIWA NA KAGAME KUWATESA WAHUNTU WALIOKIMBIA UMAFIA WA KAGAME KUTOKANA NA KUZUIWA KUFANYA SIASA.
FLORA...
Mbunge wa Bumbuli Januari makamba ameomba mjadala wa dharura kujadili ukosekanaji wa mafuta unaotokana na wenye vituo kugoma na kupelekea nchi kuwa kwenye wakati mgumu
UPDATES
Hoja imekubaliwa na...
Kama tunavyojua hawa mawaziri wetu wanafahamika kwa sifa ya ku "Cut & Paste", hembu hii iwe changamoto kwa wale wanaovurunda katika baraza la JK, kama wanashindwa kupata sababu basi hii iwe...
katika hotuba za kigoda cha Mwalimu Nyerere, Mzee Kingunge Ngombale Mwiru amesema ni aibu kwa serikali kuleta wawekezaji kwenye kilimo wakati wapo vijana watanzania walio maliza chuo kikuu...
Miaka mitatu mijayo tutakuwa na crisis ya upungufu mkubwa wa ajira na
ongezeko kubwa la graduates mitaani kuliko kipindi chochote kile katika historia ya nchi yetu!
Ni changamoto nzuri kiuchumi...
Tanzania tunahitaji dictator, mwenye nia ya maendeleo, ili wote tuingie kazini tuache malumbano na hoja ambazo kwa ujumla ni za kupoteza muda.
Tumpate wapi kiongozi dictator asiye na huruma...
wakuu huu ni mtazamo wangu binafsi!!
uchaguzi mkuu wa mwaka jana yalijitokeZa matatizo yanayofanana na haya yaliyojitokeza igunga,
daftari la wapiga kura lilikuwa vichekesho,majina ya wapiga kura...
Great thinkers heshima kwenu,
Kongamano limeshaanza sasa hivi mwenyekiti mh Ben Mkapa ndo anatoa hotuba ya ufunguzi na anamfagilia J.KN kuwa alikuwa akipinga udhalimu,uonevu na unyonyaji...
Kwa vyovyote vile mwaka 2015 tunahitaji rais mpya, na maandalizi ni lazima yaanze sasa, wanachi wameisha ichoka ccm, huko kanda ya kati tumeshuhudia wenyewe...watu wameuwawa ili wengine washinde...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 12 October 2011
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaweza "kutiwa kitanzini" iwapo itathibitika kuwa ilichakachua daftari la wapigakura katika uchaguzi mdogo wa ubunge...
Steve Biko: My lord, blacks are not unaware of the hardships they endure or what the government is doing to them. we want them to stop accepting these hardships - to confront them. People must...