Maana Ya Kuwajibika - Waziri wa Ulinzi UK Ajiuzuru - Mkulo unasubiri nini

skasuku

Senior Member
Apr 19, 2008
113
4
Kama tunavyojua hawa mawaziri wetu wanafahamika kwa sifa ya ku "Cut & Paste", hembu hii iwe changamoto kwa wale wanaovurunda katika baraza la JK, kama wanashindwa kupata sababu basi hii iwe "nyenzo", iwasaidie katika ku draft barua ya kujiuzuru kwenda kwa mkullu.

Tuanze na Mkulo.... then ......


Barua aliyoandika waziri wa ulinzi wa UK kwenda kwa waziri mkuu kijana Cameron...

Dear David,
As you know, I have always placed a great deal of importance on accountability and responsibility. As I said in the House of Commons on Monday, I mistakenly allowed the distinction between my personal interest and my Government activities to become blurred. The consequences of this have become clearer in recent days. I am very sorry for this.

I have also repeatedly said that the national interest must always come before personal interest. I now have to hold myself to my own standard. I have therefore decided, with great sadness, to resign from my post as Secretary of State for Defence - a position which I have been immensely proud and honoured to have held.

I am particularly proud to have overseen the long overdue reforms to the Ministry of Defence and to our Armed Forces, which will shape them to meet the challenges of the future and keep this country safe.

I am proud also to have played a part in helping to liberate the people of Libya, and I regret that I will not see through to its conclusion Britain's role in Afghanistan, where so much progress has been made.

Above all, I am honoured and humbled to have worked with the superb men and women in our Armed Forces. Their bravery, dedication and professionalism are second to none.

I appreciate all the support you have given me - and will continue to support the vital work of this Government, above all in controlling the enormous budget deficit we inherited, which is a threat not just to this country's economic prosperity but also to its national security.

I look forward to continuing to represent my constituents in North Somerset.

Yours ever,

Liam
Na majibu yasiyojiuma uma toka kwa kijana Cameron akikubali kujiuzuru kwa waziri wa ulinzi....
Dear Liam,


Thank you for your letter.


I understand your reasons for deciding to resign as Defence Secretary, although I am very sorry to see you go.


We have worked closely for these last six years, and you have been a key member of my team throughout that time.


You have done a superb job in the 17 months since the election, and as Shadow Defence Secretary before that.


You have overseen fundamental changes in the Ministry of Defence and in our Armed Forces, which will ensure that they are fully equipped to meet the challenges of the modern era.


On Libya, you played a key role in the campaign to stop people being massacred by the Gaddafi regime and instead win their freedom.


You can be proud of the difference you have made in your time in office, and in helping our party to return to Government.


I appreciate your commitment to the work of this Government, particularly highlighting the need to tackle the deficit, and the relationship between Britain's economic strength and our national security.


You and Jesme have always been good friends, and I have truly valued your support over the years. I will continue to do so in the future.


Yours ever,


David.

 

Kelema

Member
Jun 2, 2011
37
8
Hakika hii ni nzuri, japo inauma. Tatizo Rais wetu ana huruma sana!!! Huruma zake zinawafanya hata wale wanaotakiwa wawajibike kujikausha tu kama kauzu. Hembu fikiria uchungu wa vifo vilivyotokana na aksidenti ya meli "Spice Islander"!!!!! Hakika tulitegemea mtu/watu fulani kujiuzulu. Maana ushahidi uko wazi kwamba ilibeba abiria mara 4 ya uwezo wake pamoja na mizigo. Na sisi Wa Tz tunabaki tunalia tuu. Watu wanapanda huku wakiiona imezidi, lakini kama wahusika wangekuwa strict, watu wasingeweza kuzidi. Mbona kwenye ndege watu hawapakatani wala hawasimami??? INAUMA SANA.
 

Kelema

Member
Jun 2, 2011
37
8
Hakika hii ni nzuri, japo inauma. Tatizo Rais wetu ana huruma sana!!! Huruma zake zinawafanya hata wale wanaotakiwa wawajibike kujikausha tu kama kauzu. Hembu fikiria uchungu wa vifo vilivyotokana na aksidenti ya meli "Spice Islander"!!!!! Hakika tulitegemea mtu/watu fulani kujiuzulu. Maana ushahidi uko wazi kwamba ilibeba abiria mara 4 ya uwezo wake pamoja na mizigo. Na sisi Wa Tz tunabaki tunalia tuu. Watu wanapanda huku wakiiona imezidi, lakini kama wahusika wangekuwa strict, watu wasingeweza kuzidi. Mbona kwenye ndege watu hawapakatani wala hawasimami??? INAUMA SANA.
 

FuturePresident

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
321
53
Kuna Tofauti kubwa sana kati ya hawa jamaa na sisi huku kwetu....ni kama ardhi na mbingu hivi....kwa kila kitu wacha siasa ......kwanza angalia uadilifu wao .....mtu hupati nafasi ati kwa kujuana au urafiki....unapata nafasi au cheo kwa kuwa unastahili....hawa mawaziri wao wamefika hapo sio kwa kuchakachua au kuwatumia watu wajinga kuwapigia kura...hapa kwetu watu wanaomweka mtu madarakani kwanza ni wale wajinga maana huo ndio mtaji wa siasa za hapa...sasa usitegemee hawa wajinga hata kama mtu anavurunda wao watajua kuwa amevurunda.......sasa katika mazingira kama haya unategemea kiongozi kujiuzulu......!!!! aha wapi, pili wenzetu cheo sio nafasi ya kupata ulaji bali ni heshima kwa jamii yake juu ya utumishi wa taifa lake....hapa kwetu cheo ni biashara ndio nafasi ya kujinufaisha na kujilimbikizia mali....kuna kujiuzulu hapo?
 

We Know Next

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
797
363
Hawa ni vyema wakazisoma hizi barua;

1. Nahodha - Mauaji Igunga
2. Mwinyi - Mabomu Gongo la Mboto, Mbagala
3. Mkulo - Kashfa CHC
4. Ngeleja - megawatt zako na tuzo za dowans
5. Werema - Case ya Radar
6. Luhanjo - Jairo
7. Prof. Chaligha - Uchakachuaji wa daftari la kura Igunga
8.
9 Endeleza wengine
 

Daniel Anderson

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
872
140
Hawa ni vyema wakazisoma hizi barua;
1. Nahodha - Mauaji Igunga
2. Mwinyi - Mabomu Gongo la Mboto, Mbagala
3. Mkulo - Kashfa CHC
4. Ngeleja - megawatt zako na tuzo za dowans
5. Werema - Case ya Radar
6. Luhanjo - Jairo
7. Prof. Chaligha - Uchakachuaji wa daftari la kura Igunga
8.
9 Endeleza wengine
kikwete richmon na iptl
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Nimependa barua hiz maana hazina ujinga wa mheshimiwa nani sijui au mtukufu nani no .Naondoka ndugu Cameron basi .Wazungu bwana wacha waendelee .
 

Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,354
1,005
Acheni kumuchezeya Mukulo!! Atafanya , maajabu mpaka mushangaye!!!

Na JK atawashangazya, eeeh shauli lenu...
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Acheni kumuchezeya Mukulo!! Atafanya , maajabu mpaka mushangaye!!!

Na JK atawashangazya, eeeh shauli lenu...

Mkuu wewe ni mtanzania lakini kiswahili chako cha kirundi au mgeni unajaribu kujichanga na kiswahili na siasa za Nchi yangu .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom