Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bungeni: Mjadala wa dharura juu ya mgomo wa wauza mafuta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul S.S, Aug 9, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mbunge wa Bumbuli Januari makamba ameomba mjadala wa dharura kujadili ukosekanaji wa mafuta unaotokana na wenye vituo kugoma na kupelekea nchi kuwa kwenye wakati mgumu

  UPDATES
  Hoja imekubaliwa na mjadala unaanza sasa kwa January mtoa hoja kuanza

   
 2. n

  nrongalema Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja yake ya dharura kuhusu hali ya mafuta nchini imemlazimu naibu spika kuitisha kikao cha dharura cha kamati ya uongozi ya bunge live..!
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Niseme kwa nguvu zote kabisa kwenye hii saga ya mafuta kuna OPTION moja tu.

  Serikali IFUTE leseni zote (zote kabisa) za wazuza mafuta, na watoe application form upya na kuweka masharti yanayolinda maslahi ya nchi.

  Kwa miaka mitano sasa wauza mafuta wamefanya Tanzania shamba la bibi na wametengeneza faida kubwa sana kiasi kwamba hata kama watufunga watagoma/wataacha kuuza mafuta kwa mwezi bado hawatatikisika financially. Hii ni hatari sana kuwa na kikundi cha watu wanatumia pesa wanakwamisha shughuli za jamii yote.

  Nadhani serikali kama ingeweleza wananchi na kuwaomba uvumilivu wakati wanasuka upya utuoji wa leseni watu wengi wangewaelewa. Futa wote anza upya.
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  tunasubiri watoke kwenye hicho kikao cha dharura kama alivyosema naibu spika maana hili ni janga la taifa
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Yap imebidi naibu spika Ndugai aliambie bunge hiyo issue ni nzito ya kusitisha shughuli za bunge na kuanzisha mjadala wa hali ya ukosefu wa mafuta nchini. imebidi amuachie mwenyekiti wa bunge ili yeye na wenyeviti wa kamati za bunge waede kujadili ktkt kikao kwanza kisha wafikie maamuzi.
  Tusubiri
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  "..Wabunge wanafikiri kwa kutumia makalio.." Didas Masaburi
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hoja yako sawa lakini kumbuka wao ndio wana operate hiyo kitu kwa sasa ukisema uwanyanganye kuanzia leo ujue kutakuwa hakuna mafuta hadi utakapo pata hao wapya, je kwa muda huo wa mchakato nana atagawa mafuta, au wondolewe na vituo wapewe wengine?
   
 8. Kiroroma

  Kiroroma JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mchokonozi wee ba Enock, Mstahiki Mayor alisema ni wabunge wa Dar Es Salaam tuu kwanini unataka kuwaingiza kidole machoni hao wengine???
   
 9. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Whatever the case mkuu serekali lazima ioneshe ipo na sio ya kuchezewa hata kwa gharama fulani fulani.....
   
 10. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180

  Maskini hujui hatakama serikali yenu ni lege lege
   
 11. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #11
  Aug 9, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kwani serikali haina mafuta? Nenda pale BP nyuma kama walekea kurasini kwa nyuma kuna madepo yao maxv and mashangingi yanajaza mafuta yanapeleka kwenye magari ya mabosi wao majumbani wanajaza kwenye private car!!! Shame on U
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Vile vituo vilivyokubali kuuza muda huu unavigeuza kuwa vya 'dharura' wakati unasuka upya mambo.

  Pamoja na hayo, kauli ya Rais au Waziri mkuu iko wapi? kwa nini hawajaongea mpaka sasa. Bunge limeguuka kuwa Ikulu? This is a tragedy of its own, and where is the cabinet in all these? Bunge ni kitu cha mbali sana maana wabunge are 'legislatures' - watunga sheria. Serikali ni watendaji, sasa, wako wapi hawa watendaji?
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145

  nani afanye hivyo wewe?? haaaa Mpaka saizi hujui nature ya uongozi wako THUBUUUTU! JK AKIFANYA HIVYO NAHAMA NCHI HII NAENDA KUISHI ZAMBIA RASMI!
   
 14. M

  Marytina JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mbunge kama John Lusinde anatumia makalio 100%
   
 15. P

  Paul S.S Verified User

  #15
  Aug 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu tupo pamoja ktk hilo, tatizo lingine hawa jamaa ni moja ya wafanikishaji wakubwa wa kampeni za JK
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  unajua kama hujui serikali ni legelege na wewe unaweza kuwa legelege!
   
 17. P

  Penguine JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1,226
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Bravo january, kauli zako Bungeni zimekuwa za kibunge sana tangia uingie Bungeni.


   
 18. F

  FJM JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nimemsoma kwenye magezeti akisema watu waombe ili mvua zinyeshe! ah!
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa ni wanafunzi wamegoma kuingia darasani basi wangevurumishiwa mabomu ya machozi, risasi za moto na maji ya kuwasha.....lakini muuza mafuta ANAIPA SERIKALI 24hrs na "serikali" inachekacheka tuuuu...
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Aug 9, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Likiwashinda na hili basi tunawe mikono!
   
Loading...