Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana...
Steve Jobs, known for his aggressive and sometimes prickly personality, didn't hold back when he met President Obama in 2010: The Apple CEO warned Obama he wasn't going to win re-election.
"You're...
Vita CCM yamgusa mtoto wa JK, Ikulu
Send to a friend
Saturday, 22 October 2011 22:25
0diggsdigg
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
MAKUNDI MAWILI YATUNISHIANA MISULI URAIS 2015
Na...
Ndugu wanaJF, kwa vile siku hizi umeme unakatika muda wowote na bila taarifa na kuwatia Watanzania hasara isiyo na kifani, nashauri jina libadilishwe na kuitwa Shirika La Muda Wowote Umeme...
"when you are selected to lead your fellow humans it does not mean that you know everything better than they do...Our aim is to hand over responsibility to people to make their own decisions"
Nape karibu kijiweni tunywe kahawa
Sauli Giliard
WABOBEZI wa tasnia ya habari kila mara wanatuambia kuwa uandishi ni zaidi ya darasa. Kwamba wakati wote tunajifunza mambo mapya, hivyo...
Napenda kumpongeza sana Mh. kwa namna alivyokua makini akiwa waziri na hatimaje waziri Mkuu. Kwa kweli nampongeza sana kwa namna alivyokua anafanya maamuzi hususani alipokua Waziri Mkuu...
Katika hali isiyo ya kawaida CUF wameamua kutupa sisi CHADEMA ofisi yao ya tawi waliyokuwa wanaitumi.Tayari tumeshafuta maandishi ya CUF na kuandika maandishi ya CHADEMA na kupandisha bendera...
Kuna sifa mbili kubwa walizokuwa nazo Nyerere na Sokoine. Walikuwa waadilifu na walikuwa wana wezo wa kufikiri, wachapa kazi. Hizo ndizo sifa za rais tunayemtaka leo. Kuna watu wanamwomba Mungu...
Kufuatia kifo cha Dictator Gaddafi serikali kupitia Waziri Membe itapeperusha bendera ya nchi nusu mlingoti. Hili jambo linanichanganya kidogo, ni kwa heshima gani aliyostahili Gaddafi kupewa hadi...
Wana JF Bwana yesu awe. Pamoja nanyi na kwa waislamu Asalama aleko.
Leo hapa kwetu magu kuna sherehe ktk sekondari ya wahitimu wa kidato cha NNE wana habari na wakazi wengi wa mwanza wamekuja...
leo nimeshanga sana na watu wamebaki midomo wazi baada ya katibu wa chadema jimbo la kawe kuelezea jinsi serikali ilivyokuwa na plan ya muda mrefu toka mwaka 2008 kwa ajili ya ujenzi wa wa jengo...
You woul hear Benard Mende now becoming the government spokesmaman than Rweyemamu would. Just listen on what he says. Almost everything is nonsense and immaterial. Turn left. You would see a...
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) jana walichafua hali ya hewa katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo hicho baada ya kumzomea Rais Jakaya Kikwete.
Rais...
Ndugu wanajamvi, nikiangalia miaka kadhaa inayokuja ni dhahiri kuwa CCM kitaangushwa kwenye uchaguzi wa nchi. Sababu za kuangushwa ni nyingi ila hiyo sio mada yangu kwa sasa. Kwa sasa naangalia...
AFRIKA BADO YA KITUMWA, TUNAPENDA UTUMWA/UNYONGE
Wandungu salaamu.
Kwa uchungu na umakini leo nimeamua kushika key ili nitume message kwa Watanzania wenzangu, kikubwa hasa kilichonisukuma ni...
Binafsi hainisumbui JK kupata phd ya heshima.
Kimsingi mtu kupewa phd ya heshima ya sheria kama alivopewa JK,hakumfanyi mtu kuwa mwanasheria wala kupata hadhi hiyo-hata kama ukipewa phd 200...
Mara nyingi watu hua tunajisahau katika kutoa malalamiko kwa viongozi mbali mbali hasa wakisiasa kuwa hawawajibiki wala siyo watendaji wazuri.
Kwa mantiki hiyo siwezi amini kama nchi inaweza kuwa...
Sasa nimeamini kuwa ndoa ni ndoa tu hata kama mwanamke amekuwa akiringa muda mrefu hatimaye wazee wake wakimlazimisha inakuwa ndoa halali...
Chadema (mke wa pili) wa CUF baada ya ccm (mke wa...