Bendera ya- Tanzania Kupeperushwa nusu mlingoti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera ya- Tanzania Kupeperushwa nusu mlingoti

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SEAL Team 6, Oct 22, 2011.

 1. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufuatia kifo cha Dictator Gaddafi serikali kupitia Waziri Membe itapeperusha bendera ya nchi nusu mlingoti. Hili jambo linanichanganya kidogo, ni kwa heshima gani aliyostahili Gaddafi kupewa hadi bendera ipepee nusu milngoti? Dunia nzima inajua kwamba Gaddafi alikuwa Dictator amehusika na mauaji ya watu kama siyo halaiki tena kwa kiburi tu.

  Gaddafi huyo huyo alishirikiana na Dictator wa Uganda Amini kuvamia nchi yetu na Watanzania wengi waliuawa, sasa hapa kuna umuhimu gani wa serikali ya Tanzania kupeperusha bendera nusu mlingoti? Mbona wakati IDD AMINI alipokufa Tanzania hatukupeperusha bendera nusu mlingoti?

  Inamaana ile misaada yake ya kujenga Miskit ndiyo imetufanya tuchukue maamuzi hayo? Kwa maana nyingine ni kwamba hata IDD AMINI kabla hajafa angejenga shule au Kanisa hapa Tanzania, siku ya kifo chake ingepeperusha bendera nusu mlingoti?

  Kama ni suala la IMANI lingeachiwa viongozi wa dini ndiyo waeleze msimamo wao kuhusu uzuri na ubaya wa Gaddafi.

  Gaddafi huyo huyo alikuwa ni mshirika wa Gaidi OSAMA BIN Laden, inakuwaje tunawashangilia watu hatari kama hawa. Tunachokiona hapa siyo sera za nchi bali ni SIASA KWA AJILI ya 2015, sasa huu ndiyo ujinga wa serikali yetu.

  Serikali kukataa kuwatambua waasi inamaana inafanya maandalizi kwenda Libya kuwafurusha serikali ya mpito ya Lbya. Tujiulize tena au tumuulize Waziri membe nini kauli yake kuhusu MAZISHI ya GADDAFI kufanyika BAHARINI kama ilivyokuwa kwa OSAMA BINLaden???

  Watanzania tunaliona hili kuwa maombolezo hayo ni maalumu kwa MAFISADI na Wenyeuchu wa Madaraka ( Wachakachuaji na wezi wa KURA)na wala hayawakilishi Watanzania wenye nia njema.
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Mi sijui anatuhusu nini kitaifa (kama habari ni kweli) mpaka kustahili heshma ya namna hiyo.

  Yawezekana 'mfalme wa wafalme' alishiriki kuiweka serikali yetu madarakani!

  Siungi mkono hilo.
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Anatutia aibu. Kweli Membe ni mkebe. Wateremshe bendera ya CCM nusu mlingoti. Wasichezee bendera ya Taifa letu tukufu.
   
 4. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,694
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Honestly am simply shocked. Nusu mlingoti kwa ajili ya Ghadafi. Yeye ni nani hapa Tz, tuambiwe.
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  safi sana serikali ya Tz kwa kufanya hivyo kama habari ni ya ukweli. Unauliza Gadhafi kaua wangapi? Je na hao NTC wameua wangapi? Naunga mkono hoja.
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Membe tunaomba mustuambukize roho za kivita.mkifanya hivyo mtajuta kwa matendo yenu na mzimu wa gadaff utawaandama.kama vipi ccm ungeni mkono gaddaf na sisi wengine tuunge mkono ntc halatu tulianzishe.Mia
   
 7. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tangu jana kuna habari inanitatiza kwamba Tanzania yamlilia Gaddafi, nashindwa kuelewa hivi huyu Membe akitoa ya moyoni mwake kuhusu kifo cha Gaddafi anawakilisha watanzania wote? Hivi huyo Gaddafi ametusaidia nini watanzania mpaka tumlilie. Huyu Membe na viongozi waseme wao ndio wanamlialia. Mbona hao walibya zaidi ya Elfu 50, walio uliwa kwa amri yake sio binadamu, na wale watanzania walio uliwa na wanajeshi wa Gaddafi pale Kagera akimsaidia Dictator mwenzake Idd Amini vipi au viongozi wetu wamesahau au hawakujua wala kusikia. Jamani viongozi wetu waache unafiki.
   
 8. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kama wanahamu ya kushusha bendera nusu mlingoti si washushe ya CCM? Wakishusha ya ccm wala hakuna atakae uliza maswali.
   
 9. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Alikuwa mfadhili mkuu wa nchi yetu, ukiacha misikiti inasemekana hata JK wa ukweli alishatembeza bakuli huko, na aliomba magari ya MB huko.
   
 10. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,025
  Likes Received: 3,051
  Trophy Points: 280
  Nchi inaendeshwa kama toroli,haina sera ama iliyodhabiti ya ndani wala ya nje...ukiuliza ya ndani eti ujamaa na kujitegemea wakati ukweli hauko hivyo,ya nje eti ni kuendeleza mahusiano huru na ya kidemokrasia na kila nchi,wanahabudu misingi ya haki za binadamu huku wakiwatukuza magaidi na madikteta...Membe,sera zetu za nje zikoje?
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Hongera Membe na serikali kwa ujumla. Gadaf alikuwa ni mmoja wa viongozi imara sana Afrika, wanaongozwa na misimamo yao imara, si wale wafata upepo.

  Afrika nzima inapaswa kumlilia Gadaf, mungu ailaze mahali peponi.
   
 12. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  soma history wacha kurukia mambo usiyoyajua qaddafi was a hero and an icon of africa countries
   
 13. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Wakati huku tunajifanya kumpenda wao kule mwili wa gadafi umelazwa sokoni kwenye friji la Kabeji.
   
 14. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa nini hakupewa hii support when he was alive?????
   
 15. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Vipi hapo Upanga ubalozi wa Libya bendera inapepea nusu mlingoti?
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Sasa kijinchi kama tz kina msaada gan kwa libya hata kaitambue au kasiitambue hyo serikali ya waasi wa libya.mambo mengne akna jk wanajiaibsha wenyewe 2.
   
 17. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Siamini kama itakuwa kweli
   
 18. T

  Tetere Enjiwa JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 217
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tuliogopa kunyimwa misada na wale walio kuwa wanamshambulia wakiwasaidia NTC kumng'oa, muhimu zaidi sasa tumepata sababu ya msingi kumsupport, kwamba si utamaduni wetu kufurahia kifo cha mtu na sababu hii imefanyiwa uchunguzi haiwezi kuwachukiza wafadhili wetu.
   
 19. S

  Sobangeja Senior Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  unafiki tu angesaidiwa wakati wa vita dhi ya waasi na si bada ya kifo chake.
   
 20. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mhh! hii habari ina ukweli wowote?
   
Loading...