Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Dude, Oct 21, 2011.

 1. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Binafsi hainisumbui JK kupata phd ya heshima.
  Kimsingi mtu kupewa phd ya heshima ya sheria kama alivopewa JK,hakumfanyi mtu kuwa mwanasheria wala kupata hadhi hiyo-hata kama ukipewa phd 200!

  Kwa mfano,hauwezi kupractice wala kufanya bar exam uwe wakili wala kwenda law school..wala huwezi kufanya shuguli za aina yoyote za kisheria.
  U need an earned LLB(1st law degree obtained from a recognised institution) to do that!
  An honorary phd doesn‘t make u a lawyer!
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Mkubwa unajua maana ya CV?. Unafikiri wale wasomi wote wa Udsm ni wajinga mpaka wakubaliane kumtunukia hii Phd? This man is Capable kinachotuumiza wabongo ni wivu, majungu na zaidi ni kufuata upepo tu ili mradi umesikia mwenzako kasema na wewe unalipuka, angalia usije ukaenda kaburini bila hata certificate ya chekechekea. watu wako busy they are working hard wewe piga majungu.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,141
  Trophy Points: 280
  Uko sawa kabisa ndio maana wanapewa Marais kwani hawana haja ya ku-practice.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Wee nawee! Kwani nani hajui hayo?
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sio majungu huo ni ukweli hez nt a lawyer and he will never be unless arudi shule..
  Sio cv koz waelewa wanajua kabsa thts crap
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  The whole world knows he is not a lawyer. And being a lawyer is not all that either!
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Salim A. Salim; JK Nyerere wao walipata honorary Ph.D kutoka University za Nje ya Nchi

  Huyu kaka yetu yeye anagombea zote za bongo??? na anavyosafiri nje ya nchi?
   
 8. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Arudi shule ipi atakayoiweza? wakati yupo kijana na mambo hayakuwa mengi alipata GPA ya 2, sasa akisema arudi ni supplimentary kozi zote ktk semister ya kwanza
   
 9. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unatafutwa kuleeeeeeeeeeeeeeee wewe na wanazi wenzako kuna mada za maana lini utakuja huko ?
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,969
  Likes Received: 2,963
  Trophy Points: 280
  Kweli wivu ni mzigo. Hiyo phd aliyopewa inawapunguzia nini.
   
 11. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hahaha mi simo!
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wampe na PHD ya geography , kisha wampe na ya Urubani kabisa kasafiri sana anavigezo vyote
  ya USANII imechelewa sana KOHOLE hawana PHD hata ya kuazima na Miss Tanzania wamapige TUZO ya tabasamu na kuchekacheka
   
 13. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni ujinga kupoteza muda na rasilimali kutafuta vitu visivyoongeza thamani katika maisha? Hizi digrii za kupewa zinakuongezea nini tofauti na kuitwa Dr? Angekuwa na hekima angepigania $5m za Mo kuliko hizi heshima za kudandia!
   
 14. m

  mkandarasi Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu tatizo ni title ya u- Dr, jamaa wako tayari kufanya chochote hilo lipatikane, issue ya u-dr imewatesa ccm na tlp sana
   
 15. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tatzo ingekuwa mm napewa phd sijaifanyia kazi ningekataa kuitwa dr learned koz kila mara mtu ananiita dr ntakua nahisi ananisanifu au kunkejeli..
   
 16. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Haiendani na maana ya honorary degree. Ikiwa huelewi maana ya hiyo PhD soma hapa.

  ''An honorary degree (a degree honoris causa) (In Latin: "for the sake of the honour") is an academic degree for which a university/degree-awarding institution) award to someone as a way of honoring that person for his/her contributions to a specific field, or to society in general.

  Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia

  Kulingana na matatizo makubwa yanayoendelea nchini na mwenendo wa utawala wa huyo bwana inakuwa vigumu kukubali kwamba anastahili heshima hiyo. Inaonekana amepewa kwa sababu za kisiasa au kuna watu wanatoa shukrani katika vyuo husika.
   
 17. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  U said it right thnks mkuu..
   
 18. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  sio majungu. pamoja na wivu wa waTz. Kikwete kapewa ile PhD kisiasa, kama unavyojua ndio alikuwa funder mkuu wa REDET, lazima Mukandala amtunuku ili azidi kumwaga mafehda, coz alishasitisha. Au wengine waliopewa pia ni kisiasa(museven) kumbuka anapiga domo huko uganda ili udsm wapate fehda za kujenge hicho kituo chao, so zile Phd za heshima zinawatia moyo kupiga debe.
   
 19. Mlaleo

  Mlaleo JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 9,863
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  kuna tetesi anatumia Sigara Kubwa! so hata akisoma au kuandikwa vibaya akizomewa pia !! no P dah hata
   
 20. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ikiwa taifa linaangamia kwa mifumuko ya bei kiajabuajabu haf rais ambae ni kiongozi wa taifa yulo bize kushughulikia maphd yasiyo na tija jamani?
   
Loading...