VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,899
- 580
AFRIKA BADO YA KITUMWA, TUNAPENDA UTUMWA/UNYONGE
Wandungu salaamu.
Kwa uchungu na umakini leo nimeamua kushika key ili nitume message kwa Watanzania wenzangu, kikubwa hasa kilichonisukuma ni mambo makubwa mawili ambayo ni mapinduzi ya Afrika Kiuchumi na kisiasa.
Kwa ujumla kila kunapotokea mapinduzi barani Afrika hasa kisiasa mataifa ya ulaya uhusishwa nayo hata kama waliofanya hivyo ni waafrika wenye e.g Libya, Misri na N,K
Nimetapa bahati kubwa kuwa na marafiki wanaotoka Libya nimefanya nao mazungumzo wengine wanamchukia Gaddafi kwa namna moja au nyingi kubwa ikiwa kuuliwa ndugu zao na kuishi kwa kutishika, Gaddafi alikuwa hatari kwa maisha yao kuliko UKIMWI
Baada ya mapinduzi kumtoa watu wameusisha mataifa ya ulaya ya kwamba ndio yalikuwa na chuki na Gaddafi na kumwanzishia vita, lakini swali kubwa nalojiuliza kama hayo mataifa yalikuwa na chuki na Gaddafi iweje watu wake wanachukie hivyo kama alikuwa mwema kwao.
Swali wengi wanalouliza, kwa nini Libya na sio Somalia? Tunatakiwa kuelewa ya kwamba walibya waliamua kumtoa dikiteta NATO wakatoa cover zidi ya siraha za maangamizi alizokuwa akitumia Gaddafi, lakini pia vita ya Somalia ni ya aina yake sio kila vita unaweza kujiingiza tu kisa una nguvu, taarifa zinasema Somalia ni hatari kwa sababu ya tawala za kikoo, inaweza kuchukua miaka maana kuna maadui wengi hata ukishinda vita hawa watu hawawezi kukaa meza moja wanachukiana wao kwa wao.
Kwa Tanzania kumekuwa na unyonyaji mkubwa kupitika mikabata ya makapuni ya kigeni hakuna aliyewahi kufungwa au wananchi kupinga kwa nguvu hiyo mikataba au kuwakataa katika jamii waliotuingiza katika hiyo mikataba, tulichofanya ni kuita hiyo mikataba '‘UKOLONI MAMBO LEO'' kisha kulialia tu na kutaka wanaharakati wapigania haki zetu nchi nzima, kisha kushutumu wawekezaji,
Hivi mtu akikuibia mke utamlaumu? Au hiyo ni ishara kwamba huyo mke hakufai, kwa nini kupigana na aliyekuchukulia mkeo!!!!!!!!!
Hayo mataifa tunayo shutumu yamefikishwa hapo na wananchi wake kwa mshikamano katika kupinga uovu na kuweka misingi ya kuwajibika katika jamii yao na utawala hawategemei taifa au mtu kutoka nje kuwasaidia kupigania haki zao sisi hatuna maamuzi.
Tunaweza kulia na marekani mpaka mwisho wa dunia lakini tujue wao wana haki ya kufanya wanachofanya ( HAKI YA KUCHAGUA RAFIKI NA MAIDU) tuondoe utegemezi kifrika na kiuchumi tusimame kama sisi waarabu/asia wameweza
Tumewategemea sana USA kwa kila kitu na ndio maana tunawalalamikia hata kwa mambo wasiyohusika nayo, kama sisi waafrika tungekuwa na utu na umoja tungemwambia Gaddafi hasitumia siraha kali za maangamizi zidi ya raia wake, lakini kwa sababu wengi walikuwa mfukoni mwa Gaddafi ndio maana tunalia na Uonevu zidi yake na kusahau mchango wetu,