Kubomoa makazi ya watu wa kunduchi kumbe ni kupisha ujenzi wa Salma Kikwete foundation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kubomoa makazi ya watu wa kunduchi kumbe ni kupisha ujenzi wa Salma Kikwete foundation

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zamlock, Oct 22, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  leo nimeshanga sana na watu wamebaki midomo wazi baada ya katibu wa chadema jimbo la kawe kuelezea jinsi serikali ilivyokuwa na plan ya muda mrefu toka mwaka 2008 kwa ajili ya ujenzi wa wa jengo la mama salma kikwete foundition kwa kweli inatia simanzi kubwa sana
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tuendelee kuvumilia tu wakubwa wameamua
   
 3. K

  Konya JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hii nchi inakoelekea sijui..mungu tunusuru tulio maskini.
   
 4. g

  greenstar JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo nini au hilo jina linakupa mashaka?tunahitaji maendeleo siyo uvamizi wa ardhi ati kwa kisingizio cha uzawa.mama TIBAIJUKA kaza buti songa mbele
   
 5. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Hapo ni tangu enzi ya Lowassa alipokwenda kupiga marufuku ya uchimbaji kokoto lakini mambo yakaendelea kama kawaida ukiwemo na ujenzi.

  jee hawa wana vibali vya ujenzi au imekuwaje?
   
 6. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hamtaki wawekezaji?.
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  foundation,
   
 8. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hawa watu wanatakiwa kugadafiwa tu
   
 9. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Akawekezwe na mumeo.
   
 10. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tupe full content mkuu tunahamu ya kusikia alichosema chote sio highlights. Tafadhali mkuu usitunyime huu uhondo.
   
Loading...