CHADEMA wamekubali ndoa na CUF?

Topical

JF-Expert Member
Dec 3, 2010
5,173
935
Sasa nimeamini kuwa ndoa ni ndoa tu hata kama mwanamke amekuwa akiringa muda mrefu hatimaye wazee wake wakimlazimisha inakuwa ndoa halali...

Chadema (mke wa pili) wa CUF baada ya ccm (mke wa kwanza) amekubali kwa shingo upande kushiriki katika shughuli za bunge (kamati) wakiwemo vyama vyote wakiwemo mahasimu wakubwa CUF..japo walikataa na kutoka mara bungeni..

Maringo yameishia wapi????

Mtaolewa sana subirini 2015??
 
CCM wame i RAPE democrasia na kuamua kufanya uzinzi.
Hii ni sawa na Kijana Mtanashati kupigwa kijust na mama jizee lenye pochi.
Siihesabu kama ni ndoa.

CCM kwa tamaa yao na muwashawasha wao wanataka vyombo kwa nguvu.

Kama wamekurape..si muunde mahakamani??

Hii ni ndoa halali na chadema ni mke wa pili wa CUF???
 
Hapo naona nyie sio thinkers. kama mnaweza kuanza kushabikia hata hilo. nyie ni CCM tu.
 
Haya mambo ya ndoa yameanza huko kwenu chadema au mmesahau?? umekula kwenu sasa..poleni
 
Kuna tetesi ili kukamilisha ndoa wataanza kwanza kuwaunganisha wapinzani wengine kwenye wizara kivuli baadaye..watching the move..

Kuringa ringa ni kawaida ya mwali
 
CDM ni wa2 makini wanaelewa wazi kuwa CUF ni wanandoa halali wa CCM so hawawezi kukubali kuwa waume wenza wa CCM. Acha mwali cuf abaki na mumewe mchovu CCM!
 
Makini kwa kuwa Mke wapili wa CUF
 
Sasa nimeamini kuwa ndoa ni ndoa tu hata kama mwanamke amekuwa akiringa muda mrefu hatimaye wazee wake wakimlazimisha inakuwa ndoa halali...

Chadema (mke wa pili) wa CUF baada ya ccm (mke wa kwanza) amekubali kwa shingo upande kushiriki katika shughuli za bunge (kamati) wakiwemo vyama vyote wakiwemo mahasimu wakubwa CUF..japo walikataa na kutoka mara bungeni..

Maringo yameishia wapi????

Mtaolewa sana subirini 2015??

Tusi gani ambayo sitabigwa ban!
 
Pole sana, naona unajitahidi kuificha hii ndoa ya ccm(mme) na cuf(mke) lakini bahati mbaya ilikuwa ya mkeka na ndio maana ni ya aibu mke(cuf) huwa hataki kusikia watu wanaiongelea
:becky: teh teh teh teh teh teeeh!
 
Back
Top Bottom