Steve Jobs predicted Obama would be a one-term president | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Steve Jobs predicted Obama would be a one-term president

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIM KARDASH, Oct 22, 2011.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Steve Jobs, known for his aggressive and sometimes prickly personality, didn't hold back when he met President Obama in 2010: The Apple CEO warned Obama he wasn't going to win re-election.
  "You're headed for a one-term presidency," Jobs said during a meeting with the president that took place a year prior to Jobs' death related to pancreatic cancer, according to his upcoming biography as reported by the Huffington Post.


  Walter Isaacson, who wrote the forthcoming Jobs bio, reportedly reveals that Jobs argued that Obama was jeopardizing his re-election prospects because of what Jobs took to be a pervasive anti-business climate in his administration. Jobs cited excessive federal regulations and operating costs for businesses as harmful legacies of the Obama White House.
  Also, Jobs nearly missed the meeting in the first place.


  Though his wife told him that Obama "was really psyched to meet with you," Jobs insisted on the personal invitation, and the standoff lasted for five days. When he finally relented and they met at the Westin San Francisco Airport, Jobs was characteristically blunt. He seemed to have transformed from a liberal into a conservative.
  After laying into the White House's purported anti-business outlook, Jobs offered to help Obama repair the rift by arranging meeting between the president and a group of CEOs. When the guest list began to grow, Jobs reportedly resolved to back out of the gathering. Instead, he attended, though he poo-pooed the fancy menu. "But he was overruled by the White House, which cited the president's fondness for cream pie," Huffington Post writes.
  Jobs also offered to to help create political ads for the president in 2012. Jobs had scotched a similar effort to craft Obama ads in 2008, when Isaacson claims that Jobs was unhappy that Obama strategist David Axelrod showed insufficient deference to the Apple honcho.
  This and other political news is just the latest information to leak from the hotly anticipated book.
  Another revelation that Isaacson has teed up for a "60 Minutes" interview featuring the biography this Sunday is that Jobs wished he had chosen sooner to undergo cancer surgery.   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,862
  Trophy Points: 280
  Ebo......
   
 3. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Anaweza kuwa mtabiri kutabiri hivyo lakini utabiri unaweza usitokee au ukatokea 50/50. Mi naona Obama amekuta nchi ikiwa na matatizo makubwa vita na uchumi unaodorora, amejitahidi sana na nategemea Americans watampa another 4years. I'm waiting to see this comes true.
   
 4. T

  Thesi JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 998
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni mipango ya wazungu ya kumwangusha Obama. Ukweli ni kuwa sera za Obama za kiuchumi ni sera nzuri sana na ambazo zinashauriwa na wataalam wa uchumi. Ili Marekani ijikwamue lazima iongeze kodi kwa wafanyabiashara na kupunguza kodi kwa watu wa chini ili kuwapa uwezo wa kununua utakaochepua uchumi.
  Tatizo ni kuwa republicans wakijua kuwa hilo litafanikiwa hawataki hiyo credit kuanguka mikononi mwa Obama hivo kwa kutumia congress ambako wana idadi kubwa kwa sasa kuangusha kila muswada ambao ungekwamua uchumi na kuongeza ajira.
  Kitu kingine ambacho wamarekani lazima wapambane nacho ni currency pegging ya wachina wanaodevaluate pesa yao Yuan ili bidhaa zao ziwe na bei nafuu. Wasiangalie uso makampuni makubwa yanayozalisha China ambao wanahofia China kuretalliate. Bidhaa za China ziwekewe vikwazo kwa viwango wanavochezea fedha zao ili kuweka balance of trade. Hii itasaidia uwekezaji wa ndani ambao itazalisha ajira.
  Kwa mwendo unavoendelea wamarekani wana hasira na Obama lakini taratibu wanang‘amua mchawi wao ni Republicans wala si Obama.
   
 5. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,069
  Likes Received: 7,548
  Trophy Points: 280
  Mpaka sasa Obama Bado anaendelea kutoa ahadi, zile zile alizokuwa akizitoa katika kipindi cha campaign....Jobs has seen it right.
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,735
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa Mkuu. Mimi kinachonishangaza pamoja na kuwa Obama hakuwa na mafanikio kama ilivyotegemewa na wengi kutokana na mambo mbali ambayo yalikuwa nje ya uwezo wake na makosa ambayo aliyafanya kama Rais lakini opinion polls nyingi zinaonyesha kwamba anakula sahani moja na wagombea wa juu wa Republicans, ama yuko juu kwa points chache au chini kwa points chache. Hili linawapa Republicans wasiwasi mkubwa na kuhisi kwamba labda hawataichukua WH kiulaini kama walivyodhani na hata uwezekano wa O' kubaki WH kwa miaka minne mingine.
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Obama anaangushwa na Republicans ambao kwa makusudi wanakataa kupitisha miswada yake ya utaratibu wa kodi na kutengeneza ajira. Republicans wanakumbatia mabepari hivyo hawataki kuona kodi inaongezwa kwa matajiri. Pia wanamchelewesha ili ikifika mwakani wapate sababu ya kumshtaki kwa wananchi kuwa hajafanya kitu. Lakini hatahivyo bado wanahangaika kumtafuta mgombea mzuri wa urais baada ya Sarah Paliin kujitoa kitu ambacho kinai-favour Democrats.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  tatizo la Obama ni moja tu........TIMOTH GEITHNER
  angemweka hapo Larry haya yote yasingetokea
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Oct 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Obama angeweza kabisa kupitisha miswada mingi tu kwenye ile miaka yake miwili ya kwanza kwa sababu alikuwa na 'super majority' ya Democrats kwenye chamber zote mbili za US Congress.

  Kama aliweza kupitisha healthcare bila bipartisan support (bila Republicans) sioni kwa nini mengine alishindwa! Ila najua kwa nini alishindwa. Ni kwa sababu si kila muswada wake ulikuwa unakubalika na Democrats wote.

  Halafu hii ya kusema eti Republicans sijui hawajapata mgombea mzuri ni njozi tu. Uchaguzi uko Novemba mwaka kesho. Sasa papara ya kumpata mgombea hivi sasa ni nini? Kwani Novemba ya 2007 Obama tayari alikuwa keshapata nomination?

  Republicans wako kwenye mchakato sasa hivi na nina imani watampata tu mgombea wao.

  Halafu natabiri: Obama akishindwa watu mtalia kuwa eti kashindwa kwa sababu ya ubaguzi wa rangi na si vinginevyo. Mark these words.
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Why couldn't he predict his life?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Oct 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  How does one predict his life?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,759
  Likes Received: 82,735
  Trophy Points: 280
  NN hilo ni kosa lake moja kubwa sana alilolifanya na lazima atakuwa analijutia sana
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  By knowing what is life.
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Oct 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  What is life?
   
 15. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #15
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  It seems you don't know what you are. Are you living or dead?
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  Yaani angeweza kufanya mengi sana kwa sababu it was a rare opportunity! They (Dems) had everything going for them!

  Sasa hata kama akishinda kwenye uchaguzi wa mwakani bila hiyo 'super majority' hataweza kufanya lolote la maana!
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Oct 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  I am living.
   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  So why are you asking what is life?
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ni kama unakubali kuwa Republicans kazi yao ni kumzuia asifanye la maana...sio?
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Oct 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  La maana kwa mtazamo wa nani? Mbona watu mnakuwa kama vile kumbukumbu zenu ni fupi kupitiliza? Kwani Bush alipokuwa madarakani Democrats walikuwa wakimuunga mkono kwa kila kitu?

  Usitake kuwafanya Democrats waonekane watakatifu. American politics is a zero sum game!

  Mimi ninachozungumzia ni kwamba kama kweli alikuwa na nia ya kufanya mengi basi angeyafanya wakati ule alipokuwa na 'super majority'. Lakini sidhani kama alikuwa na nia kama hiyo. Sasa wamebaki kuwalaumu Republicans. Well...they had a super majority for two damn years. Why didn't they do all the things they wanted to do?
   
Loading...