Wananchi walio lala hawawezi kuwa na serikali makini-Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wananchi walio lala hawawezi kuwa na serikali makini-Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alexism, Oct 22, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Mara nyingi watu hua tunajisahau katika kutoa malalamiko kwa viongozi mbali mbali hasa wakisiasa kuwa hawawajibiki wala siyo watendaji wazuri.
  Kwa mantiki hiyo siwezi amini kama nchi inaweza kuwa imara kama wananchi hawako imara maana wamelala fofo.

  Pia viongozi hawa hakuna ubishi kuwa wanatokana na jamii hiyo hiyo ambayo imelala sasa inawezekana viongozi hawa wakawa shupavu na walio hamka wakati wametokana na jamii iliyo lala?

  Matatizo yanayotokea hapa Tanzania mfano umaskini,wizi aka ufisadi,ujinga,kutowajibika,ukosefu wa ajira na huduma za kijamii yametokana na jamii yenyewe iliyo lala fofo nakuwazalisha viongozi lege lege,serikali ya kiuni,wizi etc.

  JAMII ILIYO LALA ISITEGEMEE KUWA NA SERIKALI AU UONGOZI ULIYO MAKINI NA SHUPAVU.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,039
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Umenichekesha mkuu,ahaa haa haa!...kuna wenzetu mikoa ya pwani naona usingizi wao ni sawa na ule wa Adamu mpaka akachomolewa ubavu bila yeye mwenyewe kutambua,wamelala kama pono,wananchi legelege>chama legelege>serikali legelege>nchi legelege=legelegeism.
   
 3. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  hhahahahahaa
  hivi kwa nini watanzania legelege kila sehemu

  soka, u miss, ngumi, riadha, filamu, bendi za mziki, bongo flava, bongo star search, kwenye ajira mbalimbali, na mambo kadhaa wa kadhaa
  tuchukue hatua
   
 4. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,039
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  Tumetoka pale tuko hapa,...tumewezwa tumezyubutu na tunasongwa mbele
   
 5. a

  abduel paul Senior Member

  #5
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mada yenye nguvu ambayo hata kama katiba mpya itagoma ni hii, hata kama tutapewa katiba zote nzuri duniani tutumie sisi waTZ, as long as waTz ni kalagha bao, basi tusitegemee katiba itatugomboa kwa percent kubwa,
   
 6. a

  abduel paul Senior Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi nakumbuka kuna wa tz walikua wanalia kule igunga baada ya Rostam kujivua gamba, nikidhani Igunga ni kama dodoma au walau morogoro, kumbe chakari
   
 7. a

  abduel paul Senior Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mada yenye nguvu ambayo hata kama katiba mpya itagoma ni hii, hata kama tutapewa katiba zote nzuri duniani tutumie sisi waTZ, as long as waTz ni kalagha bao, basi tusitegemee katiba itatugomboa kwa percent kubwa,
   
Loading...