Wakuu hivi visima bado vinachimbwa mijini, yaani kama makao makuu ya mkoa wanaongelea kuchimba visima ni vipi kuhusu Igunga. Ok najua watu watasema mbona hata Dar mwendo ndiyo huo huo! Jamani haya...
Wakuu,
Leo wadau wa sanaa tyumestukizwa kwa kuitwa kwenye kikao baina ya Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii na Wadau wa sanaa nchini....
Mwenyeji wetu ni Naibu Waziri wa Utamaduni, Habari na...
Hivi wandugu,mikoataba yote ambayo serikali inaingia si iliamuliwa lazima ipitishwe
na Bunge?Sasa hii ya AGRECO ambayo serikali imeingia inanishtua kidogo.
Nawasilisha.
Kila ninapomtazama Rais wangu, kweli napata wasiwasi mkubwa sana hasa kutokana na maswali magumu yafuatayo;
1. Anajisikiaje kujiona kuwa Rais pekee duniani mwenye PhD za heshima kama saba hivi...
Tue, Oct 25th, 2011
President Jakaya Kikwete
President Jakaya Kikwete has arrived here to join leaders of the member states of the Commonwealth for the Commonwealth Heads of State and...
*Ni kwa kushindwa kuteua Bodi Utalii
*Wajumbe bodi ya zamani watimuliwa
*Hesabu Benki ya Posta zakataliwa
*Mrema kumwona JK wizi halmashauri
Na Waandishi Wetu
KAMATI za Bunge zimeanza kukunjua...
baada ya wahusika wote wa sakata la uvuaji gamba kuzungumza,kuna taarifa zisizo rasmi kwamba mzee wa bariadi Andrew chenge anajiaandaa kutoa dukuduku lake hivi karibuni.
Kwako Rais Jakaya Kikwete,
Ni hivi punde mdogo wangu ambaye amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu Mzumbe amenipigia simu na kunieleza jinsi management ya chuo kikuu Mzumbe wakiongozwa na Prof...
Mnyika azidi kucharukia mfumuko wa bei
Na Tamali Vullu
(Tanzania Daima 24th Oct 2011)
"Kutokana na kukithiri kwa mfumuko wa bei za bidhaaa mabali mbali mchini. Mbunge wa Ubungo John...
Pirika pirika za January Makamba zimejikiti zaidi katika harakati zinazofanana na zile za kikwete alipokuwa anawinda urais. Hali hii inachagizwa na Watendaji wengi wa ccm hasa makatibu wa wilaya...
Ndugu zangu,
Katika nchi, uwepo wa uhuru wa kujieleza ni jambo muhimu sana. Maana, nchi haijengwi kwa dhahabu au almasi bali fikra za watu. Na katika nchi, uwepo wa fikra tofauti ni jambo jema...
Tue, Oct 25th, 2011
Tue, Oct 25th, 2011
Tue, Oct 25th, 2011| Tanzania
Minister for Home Affairs, Mr Shamsi Vuai Nahodha
Home Affairs Minister Shamsa Vuai Nahodha on Tuesday said that...
Mkurugenzi wa organisation na mafunzo wa Chadema Taifa bwana Benson Kigaila na mratibu wa kinamama Chadema mkoa wa Dodoma Bi Kunti Yusuph leo wamepelekwa gereza la Isanga hapa Dodoma baada ya...
Napenda kukipongeza CCM namna kinavyojitahidi kila siku kuja na mbinu mpya ya wizi wa kura na wizi wa maliasili za watanzania, zaidi sana na pesa zetu katika benki kuu yetu na mawizarani...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi,Dr. Ali Mohamed Shein ameapishwa ikulu DSM leo na Jaji Mkuu Othman Chande,Mbele ya Rais Jakaya Kikwete,Waziri mkuu na mawaziri wengine ili...
habar wana JF!
naomba mwenye picha ya Bendera ya Tanganyika aiweke humu, samahani kwa kuwasumbua ila naitaka hiyo bendera ili tarehe 9 december niweze kuipeperusha vyema, kwa wale wanaopenda...
Some days ago, mark it a month, in the United Nations assembly when Iranian president Ahmadinejad deliver a spicy broadside against United State the delegation from USA moved out of the hall. He...