Mgomo umeiva Mzumbe University: JK unahujumiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo umeiva Mzumbe University: JK unahujumiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipanga mlakuku, Oct 25, 2011.

 1. k

  kipanga mlakuku Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwako Rais Jakaya Kikwete,

  Ni hivi punde mdogo wangu ambaye amechaguliwa kujiunga na chuo kikuu Mzumbe amenipigia simu na kunieleza jinsi management ya chuo kikuu Mzumbe wakiongozwa na Prof Kuzilwa na Prof Kamuzora jinsi wanavyosuka mgomo kwa lazima. Tuhuma hizi zinachochewa na kitendo cha chuo hiko kwa kushirikiana na TCU kujaza maelfu ya wanafunzi kushinda uwezo wa chuo kiasi kwamba sasa "kuna vuta nikuvute kwenye maswala ya accomodation"

  Mpaka sasa inaelezwa kuwa historia ya kutogoma ya chuo kikuu Mzumbe ambayo JK amekuwa akijivunia huenda ikafutika muda wowote kutoka hivi sasa kutokana na tishio la mgomo huo ambao yaelezwa muda wowote waweza kuanza.

  Hapa ndipo nataka kumuuliza JK kuwa yeye kama rais haoni kuwa anahujumiwa na maprofessor hawa? je Jk yupo tayari Mzumbe kugeuka "Mlimani?"
   
 2. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  ushabiki wako kwa kiasi kikubwa umepotosha taarifa muhimu uliyokuwa utuletee. Tafadhali badilika
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Tangu lini tetesi zikawa Breaking News?
   
 4. Fullfigadiva J

  Fullfigadiva J Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana bwana masoma kwa kodi zetu bado mnapenda kugoma tuu. Tatizo kubwa ni TCU hii nayo ni magamba matupu.
   
 5. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,050
  Likes Received: 3,958
  Trophy Points: 280
  wewe kiazi kweli kwa hiyo hao maprofs ndio wanaamua wanachuo wangapi wajiunge na chuo chao na si TCU au HELBS?
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  kipanga mlakuku
   
 7. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Passing by!
   
 8. k

  kipanga mlakuku Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nakusikia sema ongea mtoto wa kiume, kaza sauti weweeeeeeeeeeeeeeeee!
   
 9. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,092
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 280
  Premature news!
   
 10. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...@Red, hivi Jamani kila mtu anayepigiwa simu kuambiwa kuhusu jambo flani ni lazima alibandike hapa??!!.
   
 11. HT

  HT JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  sasa unashtaki JF badala ya JK?
  Umeleta habari yako kishabiki sana....sii lazima uwe mwandishi wa habari ndio uandike kwa mistari...
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tetesi, breaking news....!!
   
 13. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  shit...nilikuwa najua jambo la muhimu kweli..
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  JF imevamiwa
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hizi shule za kata zitaangamiza nchi! Kichwa cha habari chenyewe ni mkorogo mtupu.
   
 16. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  kuna mwehu humu ndani walahi tena!
   
 17. s

  samoramsouth Senior Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hivi MLACHA YULE WA UDOM ATAKUA TCU?........
   
 18. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ebu eleza vizuri
   
 19. BRUCE LEE

  BRUCE LEE JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 2,088
  Likes Received: 1,157
  Trophy Points: 280
  Kanista na heading yake mwehu huyu mi nilijua habari ya maana hivi vitoto vya shule vinaiharibu jf sasa
   
 20. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  nahisi kama si jukwaa lake labda la jokes tukujibu vema mkuu
   
Loading...