Mkataba wa Umeme:Richmond nyingine Inanukia.

EMMANUEL NSAMBI

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
402
83
Hivi wandugu,mikoataba yote ambayo serikali inaingia si iliamuliwa lazima ipitishwe
na Bunge?Sasa hii ya AGRECO ambayo serikali imeingia inanishtua kidogo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom