Rais wangu na maswali magumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu na maswali magumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by New2JF, Oct 25, 2011.

 1. New2JF

  New2JF Senior Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila ninapomtazama Rais wangu, kweli napata wasiwasi mkubwa sana hasa kutokana na maswali magumu yafuatayo;

  1. Anajisikiaje kujiona kuwa Rais pekee duniani mwenye PhD za heshima kama saba hivi!!! haoni kuwa hii ni zaidi ya heshima? haoni kuwa ni kama wanambeza sasa maana kila chuo kinataka kumpa hizo PhD?

  2. Anajisikiaje kuona ni Rais peke ambaye kila kukicha anadanganywa na watu mbalimbali hadi wasaidizi wake? Imefikia mahali hata wasaidizi wake wanamdanganya kirahisi hivi????

  3. Anajisikiaje kila kukicha anafanya safari nje wakati wananchi wake wanateseka na hali duni ya maisha??????
   
 2. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Anajisikia powa tu ndiyo maana habadiliki!
   
 3. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  KWa kweli nilikwisha choka kumjadili JK.

  Acheni afaidi safari zake bana. Si anaondoka karibuni kwenda zake Australiaaaaaaaa kula raha...za mkutano wa jumuia ya madola!!!

  Sijui this tie atapanda bembea tena...
   
 4. New2JF

  New2JF Senior Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani ana tatizo mahali fulani!!!!
   
 5. m

  massai JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hizo phd anazopewa jamani anastahili kabisa,kwani mtu huwa anatunukiwa nishani kutokana na kazi anayofanya,kuna moja ya kusafiri sana kwenye nchi za watu wakati yeye anaowatembelea wala hakuna mwenye mpango nae.yapili kudanganya na wateule wake ambao alikua anawaamini kuliko maelezo mpka akawapa nyadhifa muhimu.ya tatu kugawa raslimali za nchi kwa bidhaa za kichina,kugana neti za kuzuia mmbu na madini adimu kabisa kupatikana duniani,ya nne kugawa madaraka kwa kujuana yaani serekali ya kifamilia........endeleza
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mwacheni mjomba aendelee kula kuku...
   
 7. m

  majogajo JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  acheni walipefadhira kwa mkuu wao.....na wanajaribu kumtafutia reputation kwa wananchi waliosahau kama wanarais anaitwa kikwete wa nchi...........mimi naamini dr.slaa ndie rais wa tz.
   
 8. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  huko anakoenda nchi za nje,mbona wao hawaji huku kumtembelea?sana sana wanaokuja ni mabarozi wa nchi hizo.mara ngap kaenda u s a?,uingereza?uswiss?australia?malaysia?mbona viongozi wa nchi hizo sijasikia wakija kumtembelea tanzania?...Phd zakupewa hazina maana,mtu hata hajui kwanini tz ni maskini?anadanganywa na wasaidizi wake maana wanajua hajui na wala hafatilii
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  hivi bado mna matumaini? tuliingia kichwa kichwa tukubali yaishe.
   
Loading...